Shule binafsi kulazimisha darasa la 4&7 kulala bweni

Jamaa ana hoja nzuri sana ila anajibiwa majibu ya kipumbavu
Nikubaliane na wewe, kwann hawa la 4, especially walale bwenini??
Wengi hawajui hata kujisimamia!

Hivi tumekuwa kizazi cha watoto kueleweshwa au watoto kukaririshwa mitihani??

Siafiki kabisa hasa la 4, at least la 7, wanaweza kuwa ni mazoezi ya kuelekea form, boarding wajifunze pia jinsi ya kuishi.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Back
Top Bottom