Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 1,138
- 2,912
No evidence, kwaheri.Mkuu mbona unaleta povu la zamani lile la kugombania Scania Mwanamboka ikipita 114 nasema yangu hapo sina mtoto sina mpunga wa kulipia hayo mamilioni mazee mimi na mapovu kwa vitu visivyonihusu nishatambuka hilo tuta kitambo sana..
Hii ya Tanganyika tuna matunda yake?Inawezekana huwa unajiuliza ni zipi shule ghali zaidi Afrika kwa kipindi kirefu sasa,Hizi hapa shule kumi ghali zaidi katika ukanda wetu wa Afrika pamoja na Ada zake;
10. American international school, Zambia (annual fee 22,070$)
9.Hilton college,South Africa (Annual fee 22,596$)
8. International Community school of Abidjan, Ivory Coast (Annual fee 23,400$)
7. Lincoln community school,Ghana (Annual fee 26,276$)
6. Cairo American college,Egypt (Annual fee 26,500$)
5. Kampala International school, Uganda ( Annual fee 26,918$)
4. Al farouk language school,Egypt (Annual fee 28,783$)
3. International school of kenya, Kenya (Annual fee 31,142$)
2. American international school, Nigeria (Annual fee
31,228$)
1. International school of Tanganyika,Tanzania (Annual fee 32,000$)
Ada ya st Constantine 2025-2026Mwongo mkubwa wewe.
Ila kwa Tanzania hakuna mwanasiasa mkubwa ngazi ya uwaziri aliyesoma hizo shuleHizo shule sio kwa ajili ya elimu tu...ni kwa ajili ya koneksheni...wanaosoma hapo wanaandaliwa kuwa CEO,s wa kampuni ..Wanasiasa nk . Hivyo ukidhani unampeleka mtoto hapo asome amalize apate ajira unapoteza hela.
Huu uongo..hakuna shule inaizidi ISTKwa Tanzania ni St Constantine ya Arusha wao grade 9-10 ni usd 34,300 usd kindergarten mpaka grade 5 fees ni tofauti na grade 6-8.. Wazazi wanaachaa deposit wakiandikishwa kwa boarding ni 300usd na kutwa ni 150usd shule wanaopeleka watoto wanataka bank statement kama wanaomba VISA vile wasije wakamchukua mtoto kumbe mzazi mchimba chumvi kaokota za mawe siku mbili tu nae anataka nafasi ya mtoto na shule ingine ipo Moshi wao fees miaka minne iliyopita ilikua karibu 74m kwa kutwa..
UKweli mchungu ni kua currently mwanangu hawezi kusoma hii shuleAda ya st Constantine 2025-2026
Acha hizo mkuu SCIS wana bei kubwa kuliko Breaburn na ISM hata DIAMkuu mimi nimewahi kufanya kazi na International school karibu zote ikiwemo hiyo St Constantine.. nazijua vizuri sana. Kwa hapa Tanzania ni IST, Braeburn na DIA ndo wanaongoza kwa bei ghali.
Inakuaje vizuri kuwa na shule ghali kuliko kwingine??East africa imefanya vizuri
Wanafundishwa kwa mtaala wa IB... unafuatwa saana Marekani.Mimi nilisoma na jamaa mmoja wa hiyo IST..ni ali disco chuo..sasa je aliewahi kupita huko huwa wanafundisha masomo gani na style gani??
St Constantine sio ghali kama IST karo yao kubwa ni elfu 11 au to round off 12 labda ukijumlisha na boarding/wanaokaa shuleni basi itafika elfu 20.Kwa Tanzania ni St Constantine ya Arusha wao grade 9-10 ni usd 34,300 usd kindergarten mpaka grade 5 fees ni tofauti na grade 6-8.. Wazazi wanaachaa deposit wakiandikishwa kwa boarding ni 300usd na kutwa ni 150usd shule wanaopeleka watoto wanataka bank statement kama wanaomba VISA vile wasije wakamchukua mtoto kumbe mzazi mchimba chumvi kaokota za mawe siku mbili tu nae anataka nafasi ya mtoto na shule ingine ipo Moshi wao fees miaka minne iliyopita ilikua karibu 74m kwa kutwa..
Sawa hivyo najua..yani haswa wanafundisha civics ileile..bios ileile na physics ile ile..ama ukute wao wanajua hadi newtons fourth law of motion..??Wanafundishwa kwa mtaala wa IB... unafuatwa saana Marekani.
IB -International Baccalaureate kwangu ni moja ya mitaala mizuri saana ikifuatiwa na Cambridge.
Hiyo ni Tsh 86m, na bado kutakuwa na gharama zingine.1. International school of Tanganyika,Tanzania (Annual fee 32,000$)
Kwann mkuu mbona Ada ni nafuu na yakizalendo kabisaaUKweli mchungu ni kua currently mwanangu hawezi kusoma hii shule
Naona uvivu kuandika samahani pia.Sawa hivyo najua..yani haswa wanafundisha civics ileile..bios ileile na physics ile ile..ama ukute wao wanajua hadi newtons fourth law of motion..??
Wana tofauti kubwa sana mzee wezetu kwenye mitaala yao imefocous zaidi kwenye critical thinking wakati kwenye mitaala yetu tumefocous zaidi kumfanya mwanafunzi awe na uwezo wa kukumbuka vitu kwahiyo ata kwenye mbinu za ufundishaji zinakua tofauti kabisa ata kama physics ni ile ile pia izo shule za international school sio kila mtu anaweza kuwa mwalimu kama kwenye shule zetu hizi za ajabu huwezi eti kutoka huko kwakua umehitimu kidato Cha SITA na unaweza physiciscs eti ukaze TU kwenda kufundisha tu kama kwenye mashule yetu Aya ya ajabuSawa hivyo najua..yani haswa wanafundisha civics ileile..bios ileile na physics ile ile..ama ukute wao wanajua hadi newtons fourth law of motion..??
Hahaha,ukiambiwa heka moja viwanja vya mikahawani,Kimvulini ni Tsh 300m si utarusha ngumi na vinagombaniwa...
hiyo ni category ya kutunisha nguvu ya mfuko mkuuInakuaje vizuri kuwa na shule ghali kuliko kwingine??