Shukrani

Sometimes

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
4,536
1,126
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Uongozi wa JF wa kunipandisha "status" kutoka "member" hadi "senior member". Bravo JF!
 
cheo ni dhamana!pia walitakiwa wakupe na barua ya kupandishwa cheo pia hv ukiwa burn cheo hua kinashushwa?
 
Hongera sana.
Tunategemea hekima, busara na kuvumiliana kwa yote yatakayo kupendeza na pia kukukwaza humu ndani mkuu.
 
Back
Top Bottom