Alphard vs Vellfire

Alphard vs Vellfire

Alphard na Vellfire ni gari moja, zinashare alsmost kila kitu, nashauri tafuta za 2008+ ni second gen.

Kuna engine ndogo 2.4L na Ina hybrid pia, ila Kuna jini 3.5L V6, wengi inawasumbua mafuta.
Vp za chini ya 2008 Zina changamoto gani? Asante
 
mkuu unazungumzia za mwaka gani, maana matoleo yanatofautiana...
Nilizungumzia hizo latest 2024...
Kwa miaka ya nyuma kuna matoleo mengi..
Natamani hizo gari Kwa sababu ya ukubwa wake kwa matumizi ya familia. Sina chochote ninachofahahamu kuzihusu. Sijui ni toleo gani zuri na lipi baya. Hiyo Ndiyo sababu ya kuomba ushauri wenu
 
Vp za chini ya 2008 Zina changamoto gani? Asante
Ziko poa pia.

Kumbuka, 75% ya Magari ni uzembe wa watumiaji ndio yanaharibika. Wengi tunakwepa service.

Sasa Toyota ni very reliable, ukilinunua ata la 2004 first gen, poa tu. Ila lenyewe ni 2.4 L na 3L V6. Pia Kuna Hybrid 2.4L.
 
Natamani hizo gari Kwa sababu ya ukubwa wake kwa matumizi ya familia. Sina chochote ninachofahahamu kuzihusu. Sijui ni toleo gani zuri na lipi baya. Hiyo Ndiyo sababu ya kuomba ushauri wenu
Kwanini inasema matumizi ya familia, mnatoka mara ngapi kwa week na familia kubwa Sana? Maana Alphard ni chuma kubwa, watu 8 wanakaa mule comfortable.
 
Kwanini inasema matumizi ya familia, mnatoka mara ngapi kwa week na familia kubwa Sana? Maana Alphard ni chuma kubwa, watu 8 wanakaa mule comfortable.
I’m a family man. Kwa sasa tuko sita plus relative. Gari ya watu watano hainifai Tena. Nilikuwa natamani Nissan Caravan Nv 350 au Hiace super GL lakini Bei ni kubwa sana kwangu
 
Back
Top Bottom