Cherish Mlambo
Member
- Jan 28, 2013
- 23
- 2
Karibu sana mama tibaijuka! ila 2naomba mama ye2 usiwe na jaziba kwa maswali ambayo utaona hayakufurahishi, karibu sana mama tibaijuka.
Huyu mama ni jasiri tangu zamani. Ni Mwanzalishi wa Baraza la Wanawake Tanzania (BAWATA) ambalo halikuwa linaegemea itikadi ya chama chochote cha siasa, lakini CCM wakiongozwa na "Dr Feki" Mama Nagu wakamuibukia kama kipanga na kuiua BAWATA, eti inakikosoa chama na itaiua UWT (CCM). Bravo madam TibaijukaProf. Mama Anna Tibaijuka umesimika nembo na kipimo kipya ambacho watawala, viongozi na watu wengi wa hadhi yako au zaidi itawachukua karne kukikaribia. Huu ni ujasiri na uungwana usio mfano.
Karibu sana JF!
Wewe mpaka sasa hivi mods wanakujua kwahiyo kujiverify ni formalityNitawasiliana na mods nami niwe verified
Nimefurahi sana Mama Waziri kujoin JF...
Ombi maalum kwa JF administrators and moderators... Tulinde viongozi wetu wanaojitolea kujiunga ili tusikose busara zao humu, hata ikibidi tuongeze ban rate ili kuweka mambo kwenye mstari