NAAMINI
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 672
- 234
FRANCIS NDUNGURU SHUJAA NA MPAMBANAJI WA UDSM APANIA KULETA MAGEUZI MAKUBWA TAHLISO!!!
nawasalimu kizalendo kabisa ndugu zangu francis ndunguru ni mpambanaji asiekata tamaa na kukubali kirahisi hasa linapokuja suala la kupigania haki za watu na wanafunzi.
Mwaka 2011 aliweza kupigania haki za wanafunzi wa udsm hasa za kupandisha pesa ya kujikimu na maswala mengine ya mikopo ya wanafunzi na haki zao iliyopelekea kunyimwa haki ya kupata elimu pale udsm akaondolewa yeye akiwa na wapambanaji wengine kama akina Lusako(TSNP G.s) na Silayo Evarist(Diwani huko kilimanjaro)..Ni mpambanaji aliejiandaa kupigania maslai ya wanafunzi kwa ujumla...
Kamwe hamtakaa kujuta kumchagua francis kuwa mwenyekiti wa Tahliso, wanafunzi toka vyuo mbalimbali muungeni mkono mpambanaji huyu na tuhakikishe anakuwa mwenyekiti mpya wa TAHLISO!!
Tuache tofauti zetu na tuweke maslahi ya wanafunzi mbele na kuhakikisha ndugu francis ndunguru anakuwa mwenyekiti mpya wa tahliso...
Thomas Sankara alipata sema "You cannot carry out fundamental change without a certain amount of madness. In this case, it comes from nonconformity, the courage to turn your back on the old formulas, the courage to invent the future. It took the madmen of yesterday for us to be able to act with extreme clarity today. I want to be one of those madmen. We must dare to invent the future".
Tumpe nafasi huyu francis ndunguru na yeye atasaidia kufikisha mahali tahliso yetu yenye shida chungunzima mana tahliso hata ofisi haina..
Mwisho napenda kumalizia kwa maneno ya mwanaharakati maarufu Amilcar Cabral" Educate ourselves; educate other people, the population in general, to fight fear and ignorance, to eliminate little by little the subjection to nature and natural forces which our economy has not yet mastered".
We shuld be the think tank of our nation!!!
"God z our leader, truth z power and change z our mission"
U r voice z our duty.
Ipelekeni kwenye groups zenu za vyuo vikuu ili viongozi wenu waone.