Shujaaa mpya wa TAHLISO ni Francis Ndunguru

Shujaaa mpya wa TAHLISO ni Francis Ndunguru

Kama wewe ndo kampen manager unaandika hv? Msomi...

Umeshindwa kuandika kwa ushawishi. Umeshindwa kutaja changamoto na jinsi atavyo tatua, ana sera zipi? Vipaombele vyake ....

Umetaja tuu jambo la muhim hapo alifukuzwa chuo 2011 beside hapo hamna kingine.

Hatumjui jamaa anacheo gan kwa sasa, alifanya yepi? Khaaa


Kampeni za hivi ni kama za wasio wasomi

hatua ya kwanza kujua ni kujua hujui then utajuzwa...

huwa zwazwa hawezi kujibiwa kwa hoja sababu ni zwazwa
 
hatua ya kwanza kujua ni kujua hujui then utajuzwa...

huwa zwazwa hawezi kujibiwa kwa hoja sababu ni zwazwa

Zwazwa ni wewe unaleta habar na kunakili misemo ya watu tuu, badala ya kueleza mambo ya msingi
 
uyo mmatengo akakojoe akalale...mbashindwa kupambana mlikosa mikopo mnanadi watu wasio na tija mgomo tuliofanya 2011 kinala wa mgomo alikuwa bwana mawazo aka alshababu ...Asha twaha aka alshabibi ....tuntu aka hamis....wew huyo mmatengo umemtoa wapi?? naalishiriki mgomo gani au wa kupigania chakula mabibo siku 50 years udsm anniversary??
 
Back
Top Bottom