Shujaa Alphonce Mawazo ajengewa sanamu la kumbukumbu Geita

Hivi Lema aliwachukua watoto wake kuwasomesha?
Awachukue wapi Chadema waliahidi hata Kwa watoto wa Mwangosi na ahadi zao ilikuwa ni kuwasomesha,lakini wakawapotezea

Hadi jukumu hilo likabebwa na Prof Mark Mwandosya (Masomo yao) na Zitto Kabwe upande wa bima ya Afya
 
Bwashee ebu tupe ushahidi wenye data halisi kuthibiyisha madai yako.
Otherwise ufute kauli yako kwa kuidhalilisha jf na kusambaza uongo.
Mbona huko ndio hadi juzi viongozi wa ccm na madiwani wao wamekamatwa na viungo vya Albino ! wewe uko wapi ? (uzi umo humu )

Kwa Taarifa yako Tanzania ni ya pili duniani kwa ushirikina , ikitanguliwa na Cameroon , sababu ya Tanzania kuwa juu ni mambo ya kikatili yanayofanywa Geita
 
Back
Top Bottom