Shujaa Alphonce Mawazo ajengewa sanamu la kumbukumbu Geita

Hakika mpigania uhuru huyu ataendelea kuenziwa

Pamoja na kwamba aliuawa kinyama na watu waliotumwa na wanaofahamika lakini jeshi la polisi lilijivika miwani ya mbao

Hakuna kitu kinauma kama kuwaona wauaji wa ndugu/jamaa/ rafiki wakitamba mtaani.... Apumzike kwa amani!
 
Ndio kusema albadili ishaanza mdogomdogo
Sio albadiri ndugu yangu ukiona mimea ambayo wadudu na wanyama hawaili jua ukiiisaga unamuwekea mbaya wako kwenye bia au soda baada ya muda unakuta mahemama yameshasimikwa.patamu hapo
 
Kitu kama hichi kausha saga tia kwenye chai juisi bia matokeo ni mazuri mno
220px-Echium_plantagineum2.jpg
 
Hakika mpigania uhuru huyu ataendelea kuenziwa milele

View attachment 970226

Pamoja na kwamba aliuawa kinyama na watu waliotumwa na wanaofahamika lakini jeshi la polisi lilijivika miwani ya mbao , Bali kinachojulikana ni kwamba HAKUNA MIONGONI MWA WAUAJI WA ALPHONCE MAWAZO ATAKAYESALIMIKA.

Mungu ibariki Chadema .
Lilipaswa kujengwa alipouawa..ndio hapa?
 
Mitume na Manabii enzi zao walisema kuwa kama jambo ovu linafanywa mbele yako basi liondoe kwa mikono yako na kama huwezi kuliondoa basi likemee na kama huwezi kukemea basi onyesha kukasirishwa na jambo hilo.

Hakika Kifo chochote kinachofanywa na binadamu juu ya binadamu mwenzake kwa sababu tu ya mambo ya kidunia kama siasa za kujibizana ni jambo linalouma sana .

Mtu yeyote asiye na uvumilivu kwa binadamu wengine mtu huyo bila Shaka ni mdini ,mkabila na mwenye upendeleo.
Huwezi kushindwa kumvumilia Mtu kwenye masuala mepesi kama siasa uweze kuhimili kashfa na maneno makazi ya kukashfu dini au kabila lako.

Tumuombe Mungu awamu itakayokuja ije kufukua makaburi ya yaliyomwaga damu za watu. Kumuua mtu mmoja ni sawa na kuwaua watu wote duniani.
Na tena Biblia inasema auaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga.

Je , Haikuandikwa Jino kwa jino ,mkono kwa mkono,jicho kwa jicho ,na uhai kwa uhai??
Je ,hivyo sivyo alivyofundisha Nabii Musa ?. Alimradi ushahidi uwepo wa watu wawilia au watatu walioona kwa macho wakati uovu huo ukifanyika.

Tumwogope Mungu Muumba wa Viumbe vyote bila kuweka majengo na maghorofa mana alijua ni hayo ni mwanzo tu wa uharibifu wa binadamu kama hekima haitatumika.
Uhai ni wa Mungu tusiupuuze kamwe.
 
Swadakta .
 
Hakika mpigania uhuru huyu ataendelea kuenziwa milele

View attachment 970226

Pamoja na kwamba aliuawa kinyama na watu waliotumwa na wanaofahamika lakini jeshi la polisi lilijivika miwani ya mbao , Bali kinachojulikana ni kwamba HAKUNA MIONGONI MWA WAUAJI WA ALPHONCE MAWAZO ATAKAYESALIMIKA.

Mungu ibariki Chadema .
Wagagagigikoko watakuja kuling'oa tu maana watasema CDM hawajafuata utaratibu wa kuweka statue.
 
Back
Top Bottom