- Thread starter
- #21
Mr. Sirro is a smart IGP ever! View attachment 903615
Mr. Sirro is a smart IGP ever! View attachment 903615
Kabisa mkuu,kapunguza heshima yakeivi hii gari iko wapi,japo naamini ile picha tuliyo oneshwa (kwa kufichwa fichwa) na kutudanganya n cctv/ mara wakati yaingia nchini ni ya uwongo ila nafahamu kuna watu wanafahamu huu mzigo uko wapi.
ila hii ni aibu kuu ( uwongo kama ule sakata la zombe) bora angekaa kimya tu
Tupo pamoja mkuuPamoja na hii picha maelezo yangesaidia hata kama akili za kuambiwa ongeza na zakwako.
Hahahhhhahahahahbaron de montesque!
Hebu zunguushia hata alama kidogo sie wengine ni long-sighted hata miwani ya fundi saa haitusaidii.
Hahahaha.....
HahahahaHawa watu mbona wanaonesha wachovu saana tu. Tairi zimekuwa kipara hata hazijabadilishwa tangu huko Dubai. Zitafika mpakani kweli au?? Nadhani wakiifuatia gari kwa bodaboda watawakuta njiani wakibadili tairi, kisa pancha. Hawa watekaji hovyo sana
Watakuja mkuu kukujibu..Kuna hawa vijana huwa wanaranda mitaani kwa mbwembwe huku wamevalia vile vikoti vya khaki na SMG zao wakiwa ndani ya Toyota Land Cruiser Pick Up zenye plate namba ambazo sio za hapa kwetu Tanzania.
Je hizi plate namba wanazipata wapi?
Kwa kweli.
Tanzania hahahahaaaaaaaaaaaaa
MUNGU ANAKUONAKumbuka, ukishamaliza kumuogopa Mungu, iogope hii kitu inaitwa sayansi na teke linalo kujia. (Teknolojia).!
#Shida ya nchi hii, kwenye mambo serious, tunafanya Futuhi.
Ndimi, mjoli wenu Baron de montesque
Nitarejea
View attachment 903547View attachment 903548View attachment 903549
Walitumia simu tuu mkuu,Kwa hiyo CCTV iliamua kupiga Gari, nyuma,nyumana mbele bila kuonesha watekaji? Upigaji huu ulipangwa? Ilijua itafuatiliwa?
..shukrani mkuu kwa kutambua hilo.Naomba kusahihishwa,
Hivi CCTV camera zimeanza kurekodi picha za rangi.!?
Ndio,Naomba kusahihishwa,
Hivi CCTV camera zimeanza kurekodi picha za rangi.!?
Tz hii ni ya wahuniHawa watu mbona wanaonesha wachovu saana tu. Tairi zimekuwa kipara hata hazijabadilishwa tangu huko Dubai. Zitafika mpakani kweli au?? Nadhani wakiifuatia gari kwa bodaboda watawakuta njiani wakibadili tairi, kisa pancha. Hawa watekaji hovyo sana
Actually,! Nipo serious na swali langu kaka.Ndio,
Tena picha iliyopigwa kutokea camera iliyofungwa juu inaona mpaka uvunguni mwa gari.
Kwanza kabisa, CCTV system huwa inarekodi video na siyo picha za mnato. Hizo picha haziwezi kutafsiriwa kuwa CCTV footages kwa sababu kinachorekodiwa ni video (movements),Kumbuka, ukishamaliza kumuogopa Mungu, iogope hii kitu inaitwa sayansi na teke linalo kujia. (Teknolojia).!
#Shida ya nchi hii, kwenye mambo serious, tunafanya Futuhi.
Ndimi, mjoli wenu Baron de montesque
Nitarejea
View attachment 903547View attachment 903548View attachment 903549
Mbona kama limeegeshwa kituo cha polisi?Kumbuka, ukishamaliza kumuogopa Mungu, iogope hii kitu inaitwa sayansi na teke linalo kujia. (Teknolojia).!
#Shida ya nchi hii, kwenye mambo serious, tunafanya Futuhi.
Ndimi, mjoli wenu Baron de montesque
Nitarejea
View attachment 903547View attachment 903548View attachment 903549