Shuhudia Mwenyewe: Ukishamaliza kumuogopa Mungu iogope hii kitu inaitwa sayansi na teknolojia

Mimi sio muhuni nimekasirika saana kuliona gari likiwa hivi wakati linamteka Bilionea ambapo waneweza kumuomba gari lake waondoke na tairi zake tu waache mgari hapo Kawe.
Pili, kwa nini vijana wetu machachari wakaenda kupiga picha tu liliposimama wala hawakupata picha moja tu wakimbadili nguo na rangi MO??
Samaha, nilikuwa nawaza upuuzi wangu tu. Nadhani nimevimbirwa mihalage ya Moro, Si wajua tena, beche na ndondo!!
Oooohk hukunielewa mkuu,

hizi picha nimezileta mbele yenu ili kukuonesheni alichotuambia mtukufu wetu Siro
 
Oooohk hukunielewa mkuu,

hizi picha nimezileta mbele yenu ili kukuonesheni alichotuambia mtukufu wetu Siro
Sasa nimekuelewa mkuu kumbe na wewe ulishangaa ka mimi kuona picha hii mbaya sana inaonesha MO si ajabu alichoka saana huo mchakamchaka na inaonesha hata Shock up za hii gari zimeisha upande wa dere. Sasa mtu wa seat ya nyuma ni aje?? Tena uwe umepakizwa kule kwenye boot?? Pole sana Mo. Ila ukirudi salama, Toa sadaka ya shukrani.
 
Back
Top Bottom