Shuhudia Mwenyewe: Ukishamaliza kumuogopa Mungu iogope hii kitu inaitwa sayansi na teknolojia

ivi hii gari iko wapi,japo naamini ile picha tuliyo oneshwa (kwa kufichwa fichwa) na kutudanganya n cctv/ mara wakati yaingia nchini ni ya uwongo ila nafahamu kuna watu wanafahamu huu mzigo uko wapi.

ila hii ni aibu kuu ( uwongo kama ule sakata la zombe) bora angekaa kimya tu
Kabisa mkuu,kapunguza heshima yake
 
Hawa watu mbona wanaonesha wachovu saana tu. Tairi zimekuwa kipara hata hazijabadilishwa tangu huko Dubai. Zitafika mpakani kweli au?? Nadhani wakiifuatia gari kwa bodaboda watawakuta njiani wakibadili tairi, kisa pancha. Hawa watekaji hovyo sana
Hahahaha
 
Kuna hawa vijana huwa wanaranda mitaani kwa mbwembwe huku wamevalia vile vikoti vya khaki na SMG zao wakiwa ndani ya Toyota Land Cruiser Pick Up zenye plate namba ambazo sio za hapa kwetu Tanzania.

Je hizi plate namba wanazipata wapi?
Watakuja mkuu kukujibu..
 
Hawa watu mbona wanaonesha wachovu saana tu. Tairi zimekuwa kipara hata hazijabadilishwa tangu huko Dubai. Zitafika mpakani kweli au?? Nadhani wakiifuatia gari kwa bodaboda watawakuta njiani wakibadili tairi, kisa pancha. Hawa watekaji hovyo sana
Tz hii ni ya wahuni
 
Kumbuka, ukishamaliza kumuogopa Mungu, iogope hii kitu inaitwa sayansi na teke linalo kujia. (Teknolojia).!

#Shida ya nchi hii, kwenye mambo serious, tunafanya Futuhi.

Ndimi, mjoli wenu Baron de montesque


Nitarejea


View attachment 903547View attachment 903548View attachment 903549
Kwanza kabisa, CCTV system huwa inarekodi video na siyo picha za mnato. Hizo picha haziwezi kutafsiriwa kuwa CCTV footages kwa sababu kinachorekodiwa ni video (movements),
Lakini pia picha za Cctv zionyeshe tarehe juu kulia au kushoto kulingana na settings, pamoja na channel number ya hiyo camera.
 
Back
Top Bottom