Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Ndio ukweli namim jaman namasaibu jamani kimoja dk8 tayar nasiwezi kuendelea haki nlale baada ya masaa4 ndo naweza na mke wngu simchangamfu kitandani
 
Mke wangu alikuwa mjamzito, alienda kwao kujifungua na sasa anamtoto mchanga, bado hatujapata mazingira mazuri ya kufanya kwa maana bado yupo kwao, (mkoani)
Tamaa ya ngono itakutenganisha na mtoto wako....adi arudi hisia kwake zitakuwa zimepungua ukiamini kwa side chick una enjoy zaidi....ila ukikaa ukaongea naye, ukamfanyia vile unafanya kwa mchepuko wote mtaenjoy
 
Dah! Nimeamini kweli mwanaume ni mtalimbo kuwa imara ,kunawadada walikua wanahadithiana kuwa anatoka na mume wamtu very handsome ila akipiga kimoja harudii na kimoja chenyewe dk5 nyingi, akirudia cha pili baadae ya masaa matatu tena dk 5 hafiki mpaka wanashangaa huyo mkewe anaenjy nn sasa then linawivu balaa kwa mumewe.

Uzi mtamu sana huu barikiwa sn kwa kushare hii kitu.
 
Kwa miaka Mingi nilikuwa nasumbuliwa na tatizo la uume kutokuwa imara wakati wa shughuli na pia kumaliza mapema. Kwa sasa tatizo hilo limeisha kabisa kwani nakaa kifuani mpaka nachoka mwenyewe na mnara unasoma nyuzi tisini.

Nimewahi kwenda hospital moja kubwa hapa mjini nikaambiwa sababu kubwa ni msongo na kutokujiamini lakini sababu ya msongo na kutokujiamini ni kutokuwa rijali.. mwanaume huwezi ukawa usimamishi ukaacha kuwa na msongo na kutokujiamini labda kama umechagua kuwa shoga....najua wanaume mnajua ujasiri wetu upo kwenye urijali mengine mbwembwe tu.

Watu wengi wanatoa sababu ya tatizo hili ni punyeto na sababu nyingine nyingi za kutunga ila sababu kubwa niligundua ni kutokuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye mwili unaosababisha damu kutokufika kwenye uume vizuri.


Nini hasa nimefanya na matokeo yake ni yapi. Nimeanza kutumika asali ya nyuki wakubwa kama dozi asubuhi mchana na jioni pamoja nakula matunda sana sana tikiti maji kila jioni. Kwa hakika nimepata matokeo ndani ya mwezi mmoja. Kwani kwa sasa nasimamisha vizuri...zile style nilizokuwa nashindwa kufanya KamA Chuma mboga kwa sasa nazimudu na furaha ndani ya maisha yangu imekuja kama mnavyojua ujasiri wa mwanaume upo kwenye urijali wake.

Mbali na hayo nimepunguza ulaji wa vyakula ambavyo ni vya wanga kama mnavyojua msosi unaopatikana kwa wingi bongo asubuhi ni mkate/chapati/mihogo/supu za nyama
mchana/jioni ugali/wali/ndizi/chipsi/

Ratiba yangu ya msosi ni kama ifuatavyo
Asubuhi maziwa +karanga/yai kienyeji la kuchemsha/ mchana/jioni wali/dona/njegere/maharage/maini/samaki/kisamvvu bila kusahau jioni lazima nishushie glass ya maziwa. Milo yote lazima nianze kwa kula asali kidogo ndo niendelea na mlo.

Note hapa sijaanza kufanya mazoezi Kwani mazoezi yana sehemu yake pia kwenye kujenga mwili.

Sehemu ninayoendelea kuboresha ni kuweka tangawizi kwenye maziwa plus kula vitunguu saumu kwani vyote vinasaidia mzunguko wa damu.

Wewe ni unavyokula...badili namna yako ya kula uweze kupona au kuimarika uwezo wako wa kusimamia shoo...

Kitu madaktari wamejisahau kuwashahuri watu wengi ni namna bora ya kula ili kuwa na mzunguko mzuri wa damu.

Bila kusahau matumizi ya kila siku ya asali+kitunguu saumu+tangawizi+karanga+korosho yanaweza kukuponya/kupunguza athari za magonjwa kama sukari presha shinikizo la damu na mengine mengi.
Matumizi ya wanga + na nyama kwa wingi ni hatari sana kwa afya yako.
Note. Mimi sio daktari ila maarifa yanatafutwa kwa kuamua kujifunza kutoma vyanzo tofauti.

Mkuu ntafuata maelezo yako mimi mwenyewe nimepoteza msisimko wa ku do kabisa. Miaka 49 sijui kwa sababu sijafanya tendo muda mrefu. Cn mke!
 
Kwa mtazamo wangu. Ni kuji tune tu, ukiweka akilini kua una tatizo la nguvu za kiume lazima ukiwa mchezoni utakua na hali ya kujishtukia shtukia kama unaoga nje. Mimi mla chips mzuri sana tu na wakati wakupiga mechi nachapa utadhan nimemeza viagra. Cha muhimu mazoezi na ule Milo mitatu kwa siku.
 
Maziwa ya huku mjini wanatia maji mno..! Hivyo hayana maajabu
Mimi sinunui tena maziwa ya mgahawani ni maji matupu jana nimechukua numba ya muuza maziwa na leo kaniletea mpaka gheto mida hii hapa nimechemsha nakunywa maziwa fresh huku nasikiliza wimbo wa Upendo Nkone Ame haleluya.
 
Watu waje niwape formula za kuimarisha misuli kwa bei sawa na bure kwa info zaidi nifuate pm.

Alaf utawaletea mrejesho wana jamiiforums.
 
Habari ya sahizi wakuu, poleni na mapambano dhidi ya ugonjwa hatari unaozidi kuleta hofu nchini na duniani.

Katika harakati za maisha tunakumbana na changamoto nyingi hususani sisi wanaume. Japo changamoto zinatofautiana lakini kila mtu amekua na namma ambavyo ameweza kuziepuka.

Hapa nazungumzia changamoto tulizowahi kukutana nazo hasa katika swala la sex, hii imekua changamoto kubwa ambayo wanaume wengi huwa inatupaga stress sana hasa inapotokea kupiga shoo mbovu.

Hali hii hupelekea mabaharia wengi kupata stress na hata kujikuta kuanza kutafuta nani ni mchawi

Binafsi iliwahi kunitokea zaidi ya mara tatu kwa nyakati tofauti kupiga shoo mbovu na kuambulia maneno ya dharau. Aisee nilifedheheka sana hivyo ikanibidi nianze kuhangaika huku na huko nikitafuta suluhu maana nilijua kutakua na shida mahali.

Basi bwana katika kuhangaika nikakutanaga na mzee flani kiumri sio mzee ila age ilikua imeenda nikamuelezea akacheka sana akasema basii.

Akanipa mavumba fulani akanambia nichanganye na uji ninywe aisee ndo ikawa mwisho wa dharau kwakwel.

Je, wewe ulivyokutwa na shida kama hiyo (kushindwa kuhimili tendo la sex) ulichukua hatua gani au uliamua kuachana na hizo mambo na kufanya shughuli zingine.

Tuambizane ili wengine wainuke usingizini.
 
Back
Top Bottom