Nakupenda LilNyeto mbaya sana
Nyeto mbaya sana
We umeshawahi fanyaNyeto
Madhara utapata kutokana na wewe utakavyojichukuliaUnasema haina madhara na hapo hapo unasema ina athiri kisaikolojia. Sasa hizo athari za kisaikolojia zimejileta zenyewe?
Nikiwa na denti yangu seconds hazipiti vyema jamaa hao. Lakin nikajipumbaza kuingia chaka kujitafutia pahala pengine yaani hapa mpaka demu akaniambia sijawahipo hatasikumoja kukutana na hali hii yakufanya kwa muda mrefu. Muito doce doce doce kkkkkk.New member,
Naunga mkono hoja. Hii story yako haitofautiani sana na yangu ila kwenye nyeto tu sijafanya, ila mengine ni vile vile.
Nilichogundua, mwanamke anamchango mkubwa sana wa kukufanya ujione hufai na kukuathiri kisaikolojia au kujiona we kidume na kuwa man of the match kila siku.
Ushauri: angalia mwanamke unaekutana nae, akiwa amekubuhu itakula kwako, kwasababu hakawii kukuambia, kah mara hii tu umemaliza. Ukishaambiwa hivyo tayari keshakuroga hutaweza kuperfom tena. Ila mwanamke anaekutia moyo hata kama umevuruga huyo ndiye..
Mke wangu alikuwa mjamzito, alienda kwao kujifungua na sasa anamtoto mchanga, bado hatujapata mazingira mazuri ya kufanya kwa maana bado yupo kwao, (mkoani)Nimesoma weeee natafuta ilikuwaje kwa mkeo nimekosa....ngoja nilale
Mke wangu nampenda sana na kumheshimu sana ndio mana nasita kuweka mambo yake hapa, maana ameweza kunivumilia kipindi chote hichoKwahyo mkeo umemuacha au ndio full kuchepuka?!
Ikiwezekana ntaweka mrejesho hapa, ila kwa sasa tupo mbali, hadi nichukue likizoNew member,Nasubir nione part 2 kwa mkeo ilikuwaje? Performance ilikuwaje au ndio umechepuka mazima?
Upo sahihi mkuu, na huo ndo ukweliKuna wanawake wanakufanya ujione rijali kuliko wanaume wote duniani, pia wapo wanawake wanaokufanya ujidharau sana hata kama huna kasoro yoyote,