Shtuka..! Unaibiwa

Hahahaha kwa hiyo kuzungushwa ni ishara ya kukubaliwa. Nimechekaaaa
ukizunguushwa pengine unapimwa

Kutongoza sio maneno tu cute b kuna aina nyingi na mbinu mbalimbali za kutongoza na kwa vile wewe Ke ni katka viwindwa sio busara nibwabwaje hapa
Mwanamke unapomzungusha mwanaume ujue kuna utongozaji wa aina 1001, na ukija kushtuka unakuta ushaliwa inabaki historia tu, oooh huyu nilikua simpendi nikimuona nilikua namkimbia, sijui namwambia mama yupo, sijui nimesafiri lakini mwisho wasiku ulimpelekea mwenyewe bila kulazimishwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Asie jua kukataliwa kwa sisi wanaume tunasema huyo si mwanaume kamili,na kujitia umangungu wa kang'ang'ania ni kutojiamini.

Mimi mbona humu nimekataliwa mara kibao,nimekubali matokea.... Nacheka sana.
Hahahaaa. Pole sana Mkuu.

πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ Nakuombea iwe kweli jamaani.
 
Aiseeee...
 
when opposite charges come close...hilo ndo jibu lake.
 
Wacha Weeee. Kujilia kilaini ndio aje Sesten?
 
Wengine wanakuwaga na mahusiano yao tayari Mkuu ila wanapata au kutoa mitongozo kwa wengine wakati wa kusafiri.

Hii imekaaje?
Hiyo mbaya na haipendezi....ila yote hayo ni hutokana na malezi mabaya
 
Ngoja afike atanikomaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...mtoa taarifa nitumie namba yako PM ili nikuforwadie kitakachomkuta Brenda akifika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…