We jamaaa kuna tangazo la kazi pale clouds fm ukaungane na kwisa mzizi mkavuUpdates:
Sasa hivi namuona Brenda amesinzia, shingo ameilazia kwenye bega la jamaa
Jamaa akilala na yeye lazima niwapige picha kabisa
Roho inaniuma sana kuona kijana mwenzangu anaibiwa hivi hivi na usikute nauli katoa jamaa ya kumsafirisha demu wake.
Hahaaaa. Eti fursa adimu. Duuuh.Fursa adimu.
Ila jamaa mtoa mada mbona shilawadu flani
Sema we never know.... mtoa mada ameova look. Kuna watu walikutana ndani ya safari moja hiv sasa n mke na mume.Hahaaaa. Eti fursa adimu. Duuuh.
Huenda ikawa ndio yeye aliyepewa namba maana sio bure.
Hivyo jirani kutoa namba sio sehemu ya kukubali eeee?Sasa kutoa namba si kawaida. Jiran.
Shida ipo pale unapokubali
Oooh, ni kweli Hajar basi ungeanza wewe kumchombezachombeza muwe marafiki wa safariniπππSio sana ila nikamsikitikia sababu wajua tena sie wanawake huwa dharura haziishi maana waeza patwa na tatizo akakusaidia jirani yako.
Mi naona tabia tu ya mtu mi nasafiri mara kwa mara huwa sina stori salamu kwsh habari ila kuna wanaojiendekeza kila akikaa na dada bas kuchukua nambaHapo ni sawa kabisa. Maana kikawaida kama usemavyo huwezi safiri na mtu hata story isiwepo japokuwa mara nyingi zinakuwepo wakiwa jinsia mbili tofauti.
Mie nshawahi safiri kwenda sehemu ila haikuwa safari ndefu ni kama masaa 6 hivi, nilikaa na mdada huyo ye yuko busy na simu yake mpaka tukafika aiseee.
Kutokuelewa swali au maelezo fulani ni jambo la kawaida bibie. Ila kukubali kama hujaelewa kweli ni hatua katika kujifunza na kuongeza maarifa.Hahaaa. Umefanya nicheke maana kiukweli tlka nianze kukuquote kila mara lazima useme sijakuelewa duuuh!
Usiniulize maana waeza sema pia sijalielewa swali lako.
Kumbe wakitoa namba ni sehem ya kukubali . Ngoja nianze ku review fonebook yanguHivyo jirani kutoa namba sio sehemu ya kukubali eeee?
Hahaaa. Hajaliwaza hilo ila hapa naona anawasemea wale walio tayari katika mahusiano kama vile wewe. πππSema we never know.... mtoa mada ameova look. Kuna watu walikutana ndani ya safari moja hiv sasa n mke na mume.
Kwan jiran shida ipo wapi unapotoa namba?
Hahaaa. Basi nilipakosa hapo maana na mie nilishika hamsini zangu.
Jiran kwani ukiwa kwenye uhusiano ndio unafunga vioo?? Hahahah unatakiwa ufungue vioo uangalie the best zaidi.Hahaaa. Hajaliwaza hilo ila hapa naona anawasemea wale walio tayari katika mahusiano kama vile wewe.
Ipo jirani sababu kikawaida huwezi sema ataenda kaa nayo tu lazima ataitumia japo ndio yategemea na aina ya matumizi. Maana waeza shangaa mtu anabadilisha gia angani.
Upo chief
Siku nyingine ukiwa safarini usijisahau basi bana, maana jirani ni kama ndugu ujue hasa akiwa wa jinsia sawa na weweHahaaa. Basi nilipakosa hapo maana na mie nilishika hamsini zangu.
Mie pia naona salamu tu inatosha. Hao wanaojiendekeza ndio wengi sana Mkuu yaani bila kupata namba anaona kama hajasafiri.Mi naona tabia tu ya mtu mi nasafiri mara kwa mara huwa sina stori salamu kwsh habari ila kuna wanaojiendekeza kila akikaa na dada bas kuchukua namba
Nipo mkuu niaje?Upo chief
Hahahaaa. Hivyo waona hujaongea lugha laini eee? Duuh.Kutokuelewa swali au maelezo fulani ni jambo la kawaida bibie. Ila kukubali kama hujaelewa kweli ni hatua katika kujifunza na kuongeza maarifa.
Sababu umekataa nisikuulize swali,basi sikuulizi swali.
Ndio maana huwa sipendi kujadiliana mambo na watoto ya kike,huwa napata shida kuwachagulia maneno laini ya kujadiliana nao,sababu ukikosea katika kuchagua maneno,hata ujumbe uliokusudia kuufikisha unaweza usifike. Mwisho wa siku huwa nakubali maamuzi yao. Kama wewe hapa ulivyo sema nisikuulize swali,nimetii kauli yako.
Sioni tatizo hapo, mapenzi huanzia mahala popote haijalishi mlikutana wapi siku ya kwanza.......iwe kwneye basi,mtaani,kwenye matamasha,kwenye tafrija ,humu jf nk cha msingi kila mmoja anajaribu bahati yake....Hahahaaaa. Wataka mdada wa watu aangukiwe na jumba bovu.
Huwa naona mie pia ila sijui kwa nini hii tabia ipo na sijui anayekuwaga mdhaifu hapo ni nani kati ya Me na Ke maana waeza kuta ni katoto kanaenda shule na kamevaa sketi ya shule ila unakuta kanagandana na mtu kisa tu kakaa naye siti moja.
Ila hebu tujadili Wadau dawa ya hii kitu ni nini? Na ni nini inasababisha hii kitu?
Japo tusihalalishe kwamba wote wanaopeana namba lengo ni mapenzi.
Kutoa namba mtihani huoMie pia naona salamu tu inatosha. Hao wanaojiendekeza ndio wengi sana Mkuu yaani bila kupata namba anaona kama hajasafiri.