Shtuka..! Unaibiwa

Chat za basi sifuatilii siku hizi, ila nikiwa ndani ya basi sitaki kukaa na mmama wala mbaba MTU mzima asipokuwa mrembo basi substitute awe mchizi mchizi kama mzee baba hapo tunaweza piga story kibao siasa,Mpira ngumi nk
Afadhali umebadilika aisee.
 
Haya maneno yana hadhi ya kuandikwa kwa wino wa dhahabu. Katika jambo ambalo siliwezi ni kuwa na urafiki na mtoto wa kike na sijawahi,nikizoena na mtoto wa kike kwa maana ya kupiga nae story sina cha ziada zaidi ya kumtaka tu.

Nasema tena,sina ziada zaidi ya kumtaka tu. Kwa mara ya mwisho sina la ziada zaidi ya kumtaka tu.

Ndio maana mimi siwezi nikakaa na wanaume wenzangu tukamzungumzia mtoto wa kike.
 
aisee ungesafiri na mim kwenda chato usingejutia mtani
 
Hahaaaa. Umerudi MKUU.
‍♂️
‍♂️
‍♂️
Nimerudi kwa ajili yako.

Yaani mimi kama wewe ukiona najipendekeza kwako na kujaribu kukuzoea ujue NAKUTAKA.

Na ukinikataa ujue nitaishia tu kukufanyia wema wa kawaida ila ule wema wa ziada sikufanyii.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…