hahahahahahahahahahahahahaahcaro lite
1. Narciso Rodriguez
2. Paco Rabanne BlackXS
3. Anarchy Revitalizing Shower hii ni makitu toka kwa jamaa wa AXE
4. Jaribu shower gel za Nivea pia sio mbaya.
Jaribu kutafuta hiyo mambo hapo juu, ukiipata rudi kunigongea like, ila sina uhakika kama hivi visupermarket vyetu uchwara vina hiyo mambo.
Hahahaha, lazma umegoogle! Yaani shower gel ya paco rabanne? Si bora amnunulie uturi akachapie fimbo kitaa, lol
shower gel nzuri, bei rahisi and makes you smell yummy ni fa ya honey , milk and youghurt. Chupa transparent ya baby yellow colour.
Otherwise victoria secret na avon wana flava mbali mbali, na bei sio ya kuvunja kabati.

where are you heading with this nways?nataka nimnunulie a friend zawadi, ni wa kike infact..
je ni shower gelly gani nzuri? mkinisaidia na bei yake itakuwa vizuri zaidi....
Nawasilisha.
Tea tree shower gel( desert of essence product ) 20 $nataka nimnunulie a friend zawadi, ni wa kike infact..