shower gelly gani nzuri?

shower gelly gani nzuri?

ha ha ha ha ha!eti King'asti, watu8 kama yupo serious si awaelekeze na pakuzipatia hizo iterms.

umeshindwa kusoma angalizo langu mkuu??? mleta mada hajataja nchi aliyopo, nami nimejibu kulingana na mahali nilipoishi nikiwa nje ya Tanzania na hizo nilizipenda kwa kuwa shem wako alikua anatumia....
 
Last edited by a moderator:
mtoto wa kambo mbaya wewe!!

Mie naogea kwanga, natumia simla na cobra, afu unaniambia niogee shawa jelly ya laki na nusu?

Bafu la pasipot?

Mna makubwa nyie watu8?

Hahahaha, lazma umegoogle! Yaani shower gel ya paco rabanne? Si bora amnunulie uturi akachapie fimbo kitaa, lol

shower gel nzuri, bei rahisi and makes you smell yummy ni fa ya honey , milk and youghurt. Chupa transparent ya baby yellow colour.

Otherwise victoria secret na avon wana flava mbali mbali, na bei sio ya kuvunja kabati.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, chezeiya KING'. makaveli mwanzo mwisho, hapo mie naonaga shower gel ya bei ghali ni msele aisee. Hizo za FA mbona supermarket ya mangi zipo? Ukijisogeza avon na victoria sec aaah wekundu watatu maximum. Mi sijawahi hata kugoogle paco rabanne wala cK shower gel. Si bora kiperfume cha kutokea? (perfume shurti nyingi kwa dressing table, kuna ya kuendea kariakoo, ofisini, ngwasuma na savannah lounge).
mtoto wa kambo mbaya wewe!!

Mie naogea kwanga, natumia simla na cobra, afu unaniambia niogee shawa jelly ya laki na nusu?

Bafu la pasipot?

Mna makubwa nyie watu8?
 
Last edited by a moderator:
za rasasi nazo si zinahesabika?

Hii shower gel ndio kitu gani? Hebu tuelimishe na sisi watu wa kijijini tukuelewe kwanza.
 
Hii shower gel ndio kitu gani? Hebu tuelimishe na sisi watu wa kijijini tukuelewe kwanza.

Sabuni ya kuogea itengenezwayo katika hali ya kimiminika, huwa nzito nzito mithili ya asali. Sabuni hii ni mahsusi kwa kusafisha ngozi wakati wa kuoga na huambatana na manukato mazuri.
 
mtoto wa kambo mbaya wewe!!

Mie naogea kwanga, natumia simla na cobra, afu unaniambia niogee shawa jelly ya laki na nusu?

Bafu la pasipot?

Mna makubwa nyie watu8?

Hahaha...maisha yanaenda yakibadilika best, mathalani ukienda nchi za watu hizi sabuni za vipande matumizi yake ni madogo si kama kina siye huku...sasa huko mie ndio niliondolewa ushamba wangu wa Kimatumbi.
 
Last edited by a moderator:
usiniambie ndo valetine watu wanaulizia zawadi za shower gel humu....
nunue hata kavitz mkuu mjini hapa ! wacha ubahili
 
Sabuni ya kuogea itengenezwayo katika hali ya kimiminika, huwa nzito nzito mithili ya asali. Sabuni hii ni mahsusi kwa kusafisha ngozi wakati wa kuoga na huambatana na manukato mazuri.

Thanks somo limeeleweka sasa. Ngoja niendelee kujielimisha zaidi na haya mambo mapya.
 
Back
Top Bottom