Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 47,484
- 190,014
niliona kwa mbali kiboko kwa msaada wa binocular, sasa sijui ndo hapo unapasemea au vipi?kwenye ile swamp yenye pelicans, viboko ulifika?
Hata moving sand sijafika..
niliona kwa mbali kiboko kwa msaada wa binocular, sasa sijui ndo hapo unapasemea au vipi?kwenye ile swamp yenye pelicans, viboko ulifika?
Kwamba Arusha we huonagi watengeneza makochi?Nimefanyaje tena jamani.Si nimesifia makochi?Au hutakiwi kusifia ?Na nikauliza zinapatikana Arusha?
Kweli na nasema kweli sasa sijawahi kuona makochi ya aina hii.Nielekeze basi jamani.Kwamba Arusha we huonagi watengeneza makochi?
itakua, swamps za ngorongoro nzuri sana aisee sio za kukosaniliona kwa mbali kiboko kwa msaada wa binocular, sasa sijui ndo hapo unapasemea au vipi?
Hata moving sand sijafika..
Kamekaa vizuri kukapiga mjegeje.
Next time nitakuwa makini nione kila kituitakua, swamps za ngorongoro nzuri sana aisee sio za kukosa
Viatu vizuri lakini Jeans ndio nimeipenda zaidi.Imekaa mahali pake.Haha mbona mabuti 😹😹😹 ila viatu vya huku tunajuaga
Siku hizi Arusha pameingiliwa na joto flani hivi, zikibana zinaleta discomfort😂Viatu vizuri lakini Jeans ndio nimeipenda zaidi.Imekaa mahali pake.
Wakati mwingine natamani niwe jeans.Unajua tena wishful thinking.Siku hizi Arusha pameingiliwa na joto flani hivi, zikibana zinaleta discomfort😂
Nipe nywila yako nikuonyeshe namna ya kulitoa😁Hata mi linanikera maana halitoki hata huku kwangu!🥴😁
Ole wako uniacheNext trip jiandae
Dr Lizzy nyingine tena nishushie hiki ninachokunywa hapa 😊
Nilijua tu...japo cha kichokozi 🤗Haha mbona mabuti 😹😹😹 ila viatu vya huku tunajuaga wenyewe. View attachment 2872026
Njoo uchukue 🤓Nipe nywila yako nikuonyeshe namna ya kulitoa😁
Hahahaaaaa la kuchumpa la kumpa ramaaNilijua tu...japo cha kichokozi 🤗
Ngoja niweke langu vizuri...ntakulipizia na mimi nikienda kutembea.🤓
View attachment 2872039
Nakuja chapNjoo uchukue 🤓
Alafu huyu jamaa niliye naye hapa naona nae yupo jf 😆Tuone unachokunywa basi ☺️
Mwambie wanajf wenzie wanamsalimia!!!😁Alafu huyu jamaa niliye naye hapa naona nae yupo jf 😆
Utanikuta hapa Nyuki nakusubiria 😉Nakuja chap
Nkaribia hapa kwa Ndevu