Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,670
- 208,796
Dar napo kumbe kuna greenish ☘️🤭
Dar napo kumbe kuna greenish ☘️🤭
Ma soft huwa wanalia wakiingia crater na wengine hata wakipanda ndege.Picha gani? Ile si picha tu ya crater? Ina prove vipi usoft?
haha wanalia kisa ile barabara ya kuingia crater? Sikulia, ingawa pia nilipata hofu. Ile barabara imekaa kiajabu sana, makorongo ni mengi + vilima.Ma soft huwa wanalia wakiingia crater na wengine hata wakipanda ndege.
Basi kuanzia leo kama umeingia crater na hukulia basi nakupa uraia wa Ngarenaro.Uta cope tu bila wasiwasi.Wewe sio soft tena umekuwa solid.haha wanalia kisa ile barabara ya kuingia crater? Sikulia, ingawa pia nilipata hofu. Ile barabara imekaa kiajabu sana, makorongo ni mengi + vilima.
HahaaaBasi kuanzia leo kama umeingia crater na hukulia basi nakupa uraia wa Ngarenaro.Uta cope tu bila wasiwasi.Wewe sio soft tena umekuwa solid.
Dr Lizzy umependeza sana Mashallah sana mtoto una mapaja mazuri sana 😋😋
Nimependa hizo kochi.Sijui Arusha kama zinapatikana.Dr Lizzy umependeza sana Mashallah sana mtoto una mapaja mazuri sana 😋😋
Kwa nini hujanipitia?
Hili ua hili....!
Hata mi linanikera maana halitoki hata huku kwangu!🥴😁Hili ua hili....!
Basi tuu
kwenye ile swamp yenye pelicans, viboko ulifika?
stunningly beautiful 🌺🌺
Nakureport
Ila wewe 😂😂😂Nimependa hizo kochi.Sijui Arusha kama zinapatikana.
Next trip jiandaeKwa nini hujanipitia?
Nimefanyaje tena jamani.Si nimesifia makochi?Au hutakiwi kusifia ?Na nikauliza zinapatikana Arusha?Ila wewe 😂😂😂