Show za kibabe

Show za kibabe

My lovely Nuzulati 💓💓
Screenshot_20240113-155538_1.jpg
 
We nipe deal, kuhusu binadamu wa jf- I met few of them wako poa.
👉 Killing me isn't easy as you think.
Nahofia deals zitakudhuru kijana mdogo hata ngumi huwezi rusha.

Ushukuru Mungu uliokutana nao ni wakarimu ila mimi binadamu wa hatari,intimidating from looks to soul na matendo ya unyama.

Usisahau kumuaga mama ukiwa tayari,sawa kid?🤣
 
Uki taka kuni piga ndo uta jua, nina mafunzo ya taikondo na mieleka.
👉nita kubonda, leta deal nasubiri Sasa🤒
 
Hii ndio inanifanya nifahamu nawasiliana na kijana wa aina gani🤣

Ok,fika hapa tandale chaap chaap tugawane maarifa.
Mkuu niko nanjilinjii 🤒, so Ina bidi mpaka nisafiri.
👉Afu uko tandale, nita kuwa namu ulizia Zulu man was if au😃🤣🤒
 
Mkuu niko nanjilinjii 🤒, so Ina bidi mpaka nisafiri.
👉Afu uko tandale, nita kuwa namu ulizia Zulu man was if au😃🤣🤒
So deal ikufuate ulipo?

Ukifika utapata maelekezo ila kimuonekano i got sword slashes on my face,a gunshot scar on the left cheek na tattoo kwenye kiini ya macho.
 
Back
Top Bottom