mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,283
- 75,406
Zulu man hachelewi kukuambia ni kitu yake🤣
Zulu man hachelewi kukuambia ni kitu yake🤣
Amitabha🙏Nani achukie ?
Crew gani unazungumzia?🤣
Andika kimaasai nikuelewe tafadhaliAmitabha🙏
Sitaki shida bro😄🤣, ila hilo swali sili wezi😄🙏Andika kimaasai nikuelewe tafadhali
Not open for further repliesSitaki shida bro😄🤣, ila hilo swali sili wezi😄🙏
Kumbe una jua🤣😄, Sasa why upige jiwe gizani🤒Not open for further replies
Tatizo unatumia misamiati migumu ya mtaani huko,sikuwa nimeelewa.Kumbe una jua🤣😄, Sasa why upige jiwe gizani🤒
Sema Akili yako ni nzito ka uji was ulezi🤣😄.Tatizo unatumia misamiati migumu ya mtaani huko,sikuwa nimeelewa.
Ila lengo si hivyo ufikiriavyo.😅
Ngoja niondoe chaap.
Akili ya kiume ni kutowazia ya watu kijana🤣Sema Akili yako ni nzito ka uji was ulezi🤣😄.
👉We Huku fikiria nje ya box🤣
Mimi mgeni wako rafiki,niwekewe ugali.View attachment 2869945
Tuishi humo