Show za kibabe

Ndugu Mshana hotuba zina akisi kile mtu anachokiamini na kukisimamia kutoka moyoni. Nadhani huyu mama alikuwa akielezea hisia za moyoni mwake. Hata waafrika wanaweza kuelezea hisia zao nakushauri usikilize hotuba za Prof. P. L. O. Lumumba wa Kenya. Huyu alikuwa ni mkuu wa taasisi ya kupambana na Rushwa Kenya kabla hajatumbuliwa.
 
Acha ujuha wako wa kufananisha mipango ya Mungu na madikteta! Wewe kweli hamnazo! Duh!

We unafikiri aliposema kamuumba binadamu kwa mfano wake, wewe ulifikiri ni katika kula babu? Katika kufanya maamuzi muzee, ukitaka kufeli hata kwenye familia yako wewe jifanye unaijua demokrasia na unaitekeleza kwako utakiona cha moto, mkeo kama hajarudi nane usiku halafu akakuambia alikuwa na hamu ya kukaa na kupiga story na fulani kwa kutumia uhuru wa kuamua anayetaka kujumuika nae. Acheni maigizo, sasa tufumbue macho tuone ukweli, haya maigizo yanatupoteza. Ndani ya nyumba sauti huwaga moja, hakuna panya yeyote mwingine kufanya fyoko!
 
Tata nakubaliana nawe ndio maana nikamlenga yeye moja kwa moja na kwa upande wa waafrika nililenga wale viongozi wetu wakubwa kabisa
 
Bado hotuba ya Michelle Obama ni ya kiwango cha chini sana ukilinganisha na hotuba ya mtukufu JPM aliyoitoa kule Ethiopia, kila mtu alikuwa kimya kumsikiliza jinsi anavyomwaga madini. Inasadikika itaingia katika hotuba bora kabisa kuwahi kutolewa na mkuu nchi kwa karne na karne zijazo.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Shukrani Mkuu kuna watu humu wakiamua kuonyesha ujuha wao humu hadi unashangaa! Duh! Nadhani tunaweza kuchukua ushindi kwa kuwa nchi yenye majuha wengi duniani.

Nimemuona mapema kabisa nikaamua kumpotezea
 
Asomae na afahamu
 
Nikakukumbuka hotuba za viongozi wetu wa kiafrika zilizojaa ubabe vitisho na kuwajenga watu kuishi kwa woga na kutojiamnini.
Kwani huyu mama alikua kiongozi wa nini?... Kama upendo tu, mbona mama Jannet au mama Salma walikua wazuri tu, walikua wanatoa maneno mazuri na hotuba mzuri, Juz juz mama Salma kupewa zawadi
 
Na ameweka wazi kuwa alipigania kwa maslahi binafsi !!! What a load of stupidity [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Na bado kuna wana wa afrika wanamsifu na kumuona kua ndio mzalendo wa pekeee aliyebaki Africa.twafwaaa
 
Mkuu,kuna binadamu wenzetu wanajiona kua wao ni smart sana kuliko wengine,ni unafiki tuu umetujaas mtu akiwa hadharani anaupinga ushoga kwa nguvu zoteee,anapojificha ndo wa kwanza kushiriki kwa namna yoyote ile vitendo vya kishoga.

Mtaani kwetu watu wanapinga sana ushoga mchana ikifika usiku wanajazana kwenye vigodoro ambapo mashoga ndo wanenguaji wakuu.
 

 
Huyo mama na mumewe wote wastaarabu sana halafu vichwa. Huko ndiko kwenda shule kwa maana ya kupata elimu na kuelimika sio kusoma bila kuelimika na kustaarabika
 
Yaani Obama angechelewa kidogo ningemuoa huyu dada...ananibariki sana!

Haa haa haa.....!!

Angeweza kukuambia ".....I am sorry, I love someone else", ungefanyaje mkuu?

Si unajua tena wenzetu waliotanguliaga kuona nuru ya jua la ufahamu? Hawakopeshagi na wala hawanaga longo longo kwenye hizo ishu za matamanio yako wala zile......mmh..
mmh....eeh....eeh, may be I wil tell you tomorrow!!??

Anakupa za uso na mashavu "live" pale pale huku unaona
 
Mkuu unadhani mimi na Obama tunatofautiana kikubwa basi? Ningezaliwa mbele ningekuwa namaliza muda wangu wa Upresdaa!
 
Najaribu kuwaza tuu, jee Michelle angekuwa ni 1st mamaa wa kwetu kwa sasa ni mabadiliko gani yangekuwepo kwa 1st gentleman wetu?
Maana wanasema ukiona mafanikio ya mwanamume ujue nyuma yake kuna mwanamke.
cc; Evelyn Salt
 
Huyo mama ni profesa wa kiwango cha Havard University,Mwanasheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…