Show za kibabe

[emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] umeruka kama umekanyaga mbigili mtani

Mtani bwana unajua kule kwetu Machame hatupigwi,tunafundishwa kukatia ng'ombe majani tu na kutafuta fweza!!!!!!!!Ukileta za kuleta unaishia kwa kaburi,ndiyo sababu tunaitwanga WAPALESTINA
 
Mkuu mda wote yuko down alikua wap kutoa hotuba akiwa first lady...? Halafu kwa nn una dharau viongoz wa Africa...? Nan aliye kiongoz bora... Je n yule apingae ushoga ama anae halalisha ndoa ya jinsia moja kwenye jengo la white house... Halafu wanainch wanaambiwa God bless America. Huyo mama atembee zake tu maana hakua mshaur mzur kwa mumewe
 
Yanaweza kutamkwa na lema
 
Asante kwa mchango hatuwezi kufanana mitazamo na hilo si tatizo hata kidogo
 
Nina haki na wajibu kamili kwenye hili alimradi tu simkosei mtu kwa namna yoyote ile wala sivunji katiba ya nchi na uhuru wa kutoa maoni kama mtanzania
Ulijibland vizuri kule kwenye (social atarvism)...huku naona hautoshi..though una haki ya kutoa maoni
 
Ulijibland vizuri kule kwenye (social atarvism)...huku naona hautoshi..though una haki ya kutoa maoni
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji25] [emoji115] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 


KWANI MAMA SALMA KIKWETE YEYE HAKUPEWA NAFASI ATOE HUTUBA KUPITA HIYO YA HUYO MICHEL OBAMA????.....
 
Mwanamke alikuwa anaongea na wanawake wenzie,lazima walie kwa sababu ni kawaida kulia lia kwa mwanamke,hatuhitaji hotuba kama hizo kipindi hiki tufanye kazi kwanza baadae ndo tubembelezane ,kisa mzungu kalia eti na sisi tulie khaaa
 
Mkuu huyu mama hana interest na siasa?. Angeweza kuwa mwanasiasa mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…