Show ya vinega vp?

wamefunikwa na fabulous.SUGU akubali RUGE YUKO JUU YAKE HAWEZI AKASHINDANA NAYE
 
Kichomi ebu sema bwana sugu kapata support ya kutosha?mbona hamnieleweshi vzr jaman.n habari za uhakika?
 
Sina uhakika kama Sugu amepata wahuni wa kumsikiliza.
 
We mzee kweli umezeeka unaongea pumba.nmepata update za uhakika kutoka kwa Regia Mtema anasema huko n full pipo.jifunze kusema ukweli hata kama unauma
 
Ebwana show ni balaa tumewazika rasmi wafu fm leo muheshimiwa mnyika'highness'mboye wote walikuwepo kutoa support kwa hii movement yaani watu weng balaa hakuna kutukanana show ya kistaarabu na aman tele'sugu katisha
 
Sina uhakika kama Sugu amepata wahuni wa kumsikiliza.

Yeah wahuni tulifurika vya kutosha kumsikiliza sugu. Mmegemua wewe na virus wenzako. Tembelea facebook, blogs ama subiri mwananchi na tanzania daima la kesho uone shazi la kufa mtu lilivyokua hapo ustawi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom