Show ya MwanaFA ilihujumiwa kwa makusudi.

Kwa masikio yangu niliwasikia B dozen na fetty wakisema tiketi zimekwisha.wachawi ni wao wenyewe.na bado majanga yanakuja mengi tu.
 
watu -wenye tamaa za kama mwanafatuma ni easy sana kuchezewa makalio

watu wa aina hii kwenye lift za floor ya tisa ukishuka naye mwonyeshe buku kumi mwambie umtie dole atainama fasta na utantia hata pen
 
Nilikua na mwalimu wangu wa somo la historia, kuna siku alituambia, ktk maisha usipambane na mwanamke. Achilia mbali uwezo wake but pia anaweza kufanya makubwa zaidi ya tuyajuayo. Nilimuelewa sana.

You are very right..halafu kipigo cha kike kinamuumiza mwanaume kwelii duuuh.
 
Kwa masikio yangu niliwasikia B dozen na fetty wakisema tiketi zimekwisha.wachawi ni wao wenyewe.na bado majanga yanakuja mengi tu.
Hao watangazaji wa Clauds Fm ni miongoni mwa watu waliochangia sana kuharibu show ya mwanaFA juzi kwa taarifa zao za uongo kabisa.
Kilichotokea ni mwanaFA kuwakosa fans wake muhimu kwenye show yake.
 
Acheni Visingizio,MwanaFA alikuwa anakuzwa na Clouds na alikuwa anatumika tu aidha kwa kujitambua au kutojitambua ila kwa uhalisia hana uwezo wa kupambana na JIDE watu wazima tunasema sio Saizi yake,ni aibu kubwa sana kwake na kwa waliokuwa wanamtumia,Team Anaconda!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Amepata alichotaka!
Waliokua wanalinganisha wamepata jibu sasa!
Hakuna hujuma, mashabiki wamechagua wanapopapenda zaidi!
Team anaconda ndo habari ya town!
 
watu -wenye tamaa za kama mwanafatuma ni easy sana kuchezewa makalio

watu wa aina hii kwenye lift za floor ya tisa ukishuka naye mwonyeshe buku kumi mwambie umtie dole atainama fasta na utantia hata pen

hahhahahhahahahahahahhahha nakugongea na like hii ndi jf bana
 
Dume linakuwa ambasador wa magonjwa ya kike kweli we MwanaFistula! Na redio yako ya wafu!
 
Kwa masikio yangu niliwasikia B dozen na fetty wakisema tiketi zimekwisha.wachawi ni wao wenyewe.na bado majanga yanakuja mengi tu.

Si walikuwa wanajipa moyo ili ionekane huyo Mbwiga wao bado anakubalika Mkuu. Ndo hasara ya kujitekenya na kujichekesha mwenyewe.
 
eti ilihujumiwa, ja hawana aibu hata kidogo, yeye na waandaji wake si ndio wananguvu katika kiwanda cha muziki wa bongo fleva....
 
Nilikua na mwalimu wangu wa somo la historia, kuna siku alituambia, ktk maisha usipambane na mwanamke. Achilia mbali uwezo wake but pia anaweza kufanya makubwa zaidi ya tuyajuayo. Nilimuelewa sana.

Acha hizo, sema tu mwana fa kwa sasa sio hit kiviiiile, na hata hii single yake mpya sio viiiiiile..

Ila kama ni men vs women, basi uandaliwe mpambano kati ya dada na sukari ya warembo a.k.a platnum tuone.........Dada lazima akae..
 
watu -wenye tamaa za kama mwanafatuma ni easy sana kuchezewa makalio

watu wa aina hii kwenye lift za floor ya tisa ukishuka naye mwonyeshe buku kumi mwambie umtie dole atainama fasta na utantia hata pen

Duh..yaani Jide umejiunga babavichaa juzi tu umeshavaa uhusika, kweli una kichwa....
 
Nilikua na mwalimu wangu wa somo la historia, kuna siku alituambia, ktk maisha usipambane na mwanamke. Achilia mbali uwezo wake but pia anaweza kufanya makubwa zaidi ya tuyajuayo. Nilimuelewa sana.

Ulimuelewa sana kipindi alichokwambia au baada ya kuona haya mambo yametukia?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Radio clouds toka walipopigwa 3-0 na Jide wapo kimya kabisa. Hata analysis au feedback ya show ya Fa hawatoi. Ni kama wamemwagiwa maji ya ukoko.
 
Back
Top Bottom