Show ya MwanaFA ilihujumiwa kwa makusudi.

Hahahahahaaa kumbe na wewe huwa unakuja huku? For your information huko sio kwako, rudi kule kwe siasa za majitaka!
Mkubwa lazima tukubali kuwa haiwezekani watu wote tuwa tunaunga mkono upande mmoja, Ritz anauwezo wa kuunga mkono upande autakao kama wewe na mimi tulivyo na pande zetu. Pia kama wanajamiiforums ana haki pia ya kutembelea jukwaa hili.
 
Back
Top Bottom