Show ya MwanaFA ilihujumiwa kwa makusudi.

Kupambana na motto wa kike hadharani unatakiwa ujipange brodah....alafu kujiassociate na CLOUDS kulimchafua...UNAJUA CLOUDS HAWAAMINI KWAMBA WATU WANAWACHUKIA SANA HUKU MIATAANI SASA HIVI.....
 
chezea team anaconda wewe!utanyoosha mikono juu hata kama ni shujaa...
teh teh teh
 
Hana cha albam mpya wala wimbo mpya,ni roho mbaya zao tu kutaka kumbania Mrs Gadner.

KWA alivyogaragazwa walahi anajuuuta kumfahamu Lady JayDee
 
Acha hizo, sema tu mwana fa kwa sasa sio hit kiviiiile, na hata hii single yake mpya sio viiiiiile..

Ila kama ni men vs women, basi uandaliwe mpambano kati ya dada na sukari ya warembo a.k.a platnum tuone.........Dada lazima akae..

Hata huyo MwanaFAtuma wenu mlisema hivihivi, at the end of the day middle finger ikamuhusu.
Chezea shangazi wewe!!
 
hapo kwenye namba 4 sio kweli kwa nini ikuguse wewe tu
na hapo namba 5 ungesema mapema kabla ya show ,bona ulikaa kimya mbona jd alihujumiwa waziwazi akaongea
 
mwanfatuma chali tulanza kwenda makumbusho natukamalixia team anakonda lakin wote walee walikua watu wa clous na familia zaooo lakini sasa huku kitu cha anakonda usipimeeee full mapiopleeee mwanfatuma jide ni dada yako kumbuka nyimbo mlizo imbaaa ni nxuri saaan likin hao mambururaaa wamechambia nyebee watakupotezaaaa
 
Mwana FA Acha kutumika.clouds hawana kitu wammfanyia jide visa bado tuzo kachukua sasa wameona watafute zeze na wanaona wwamekupata... hao ni wase ... maana wewe na jide mana mashabiki loyal sana na shoo yako ingependeza NA kujaa lakini mmchawi Wako kakupeleka pabaya. Clouds mharo tu.
 
Ooh ahsante nilikywa cjui..wapo mabalozi wengi wa fiatula? maana naona hata Jidee anaonekana kwwnye basi la CCBRT akitangaza hiyo hiyo fistula.
 
Back
Top Bottom