Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Zitto anawarekebisha manaibu mawaziri wanapojibu maswali wasiwaite wabunge dadazao, kakazao, rafiki yangu wa karibu,.....Suala la Lema kwa sasa halipo. Labda jioni au limepotezewa?
Currently:
Zitto asema kuitana dadangu, ndugu yangi, mdogo wangu, n.k ni uvunjaji wa kanuni za bunge. wabunge na mawaziri waitane kwa vyeo vyao au majina yao halisi.
Spika -amuunga mkono.
Mh. Lazaro Nyalandu Naibu waziri wa Viwanda na biashara amemtakia mke wake happy valentine kabla ya kujibu swali la msingi aliloulizwa bungeni
Hata tukiacha hii, Pinda kisaha lidanyanya Bunge mara kadhaa -- moja ni pale alipoliambia kuwa mkataba kati ya serikali na RITES umevunjwa, kumbe bado kama alivyosema Wzaziri wa Mawasiliano Nundu alipokyutana na wafarnyakazi wa TRL wiki iliyopita.
Nundu aliumbuka pale mmoja wa wafanyakazi alimtolea kavu kavu kwamba mbona Pinda alisema mkataba ulivunjwa? Waziri akawa anakenua meno tu na kutizama chini.
Ingawa hizo 'danganya' zingine za pindi hazihusu suyalka hili, lakini linaonyesha jinsi kiongozi huyo mkuu wa shughuli za kiserikali alivyo muongo aliyebobea.
Lakini nafikiri kama kawaida yake, Makinda na Pinda watategemea tu uwingi wa Wabunge wa CCM kwani hawa wengi ni "yes' men.
lema atapeleka kwa speaker ofsin halipo tena:clap2::clap2::clap2: mana linapoteza muda badala ya kuchangia mambo ya muhimu:laugh:
Mlishalikoroka sasa mnaanza kufunikafunika sio.... Mnatuletea udikteta... Hii sio bongo ya 47.. Mkikaa vibaya mtaondoka kwa aibu kama Hosn Mubrk.. You better be careful yoooooh!!!!
Ushahidi, kisheria, kibunge, ki-intelijinsia, kisiasa, ki-common sense all favours chadema more than PM. Kwa maneno mengine CDM ina wakati mzuri sana wa kurudisha heshima kwa ku-dela na watu dhaifu kama Pinda.
One of the things made Mwakyembe and his team popular is his influence to cause former PM to step down instantly! with this evidence CDM have got all reasons to force PM to step down at least to discpline other MPs indirectly.
Nistashangaa sana kama CDM itamkaukia Pinda katika hili, komaeni naye tumieni uwezo wenu woote ajiuzulu! that is another campaign for you in 2015!!
Mh. Lazaro Nyalandu Naibu waziri wa Viwanda na biashara amemtakia mke wake happy valentine kabla ya kujibu swali la msingi aliloulizwa bungeni
LEmma
Kawithdraw ushahidi wake hatauta tena:A S thumbs_down::A S thumbs_down:
We unaumwa? Si uende Milembe