Show ya Lema vs Pinda featuring Makinda

Leo kati pita pita zangu hapa Arusha nimegundua watu wanafatilia Bunge kupitia radio zao....
 
Tatizo viongozi wa TZ wanakubali kudanganywa na Spika angetumia busara hili lisingefikia hapo. Nchi nyingi vurughu huanzia ktk issue kama hizi zinapokuwa miss handled. Mi ningekuwa spika nisingeruhusu mjadala huo ili si watu wazima tujue tayari kosa lilikuwepo, ningesema tu ushahidi utapitia na kamati ya uongozi ya spika na hatua zitachukuliwa kulingana na ushauri utakaotolewa. kwisha. Akinga'ang'ania najua hii itakuwa aibu ya mwaka kwani inaonyesha alipewa taarifa za uongo na yeye kuzitolea majibu hivo hivo japo kiungwana na yeye hata spika wangesema swali hilo kwa kuwa kuna kesi mahakamani bunge kulizungumzia linaweza kutafsiriwa kuwa mhimili huu unaingilia uhuru wa mahakama. Hapo wangeepusha shari na Lema asingesiamama kuomba muongozo wa spika. Mambo mengine ndugu zangu ni busara si kukurupuka kama sika alivofanya........bado Spika wa Bunge wa Bunge lilipita Mh Sita atakumbukwa na wao CCM watamkumbuka kwani daluili ninazoziona Makinda ataichimbia kaburi CCM....TUSUBIRI TUONI YANGU MACHO WAKUU
 
ngeleja anaambiwa alidanganya wana nyang"wale umeme 2009 kwa kupitisha malori ya tanesco bila umeme
 
Ngeleja mzee wa porojo, hebu tusubiri ripoti ya mpiganaji leo Pinda atatoke mlango wa nyuma
 
LEmma

Kawithdraw ushahidi wake hatauta tena:A S thumbs_down::A S thumbs_down:
 
Tupeni mambo wakuu, naamini leo Mh. Spika Anne Makinda leo anaelekea kufanya kosa lake la kwanza kubwa toka akabidhiwe cheo hicho!!
 
Hafai kuwa waziri mkuu...wala kiongozi wa nchi hiii tanzania...
 
Leo kati pita pita zangu hapa Arusha nimegundua watu wanafatilia Bunge kupitia radio zao....

... Na wajiandae kumsapoti mbunge wao kwa njia inayoeelweka kwa matokeo yeyote yatakayotokea... wao ndio wenye ushahidi wa kweli zaidi..na wao ndio wanajua njia nzuri zaidi ya kufikisha ujumbe ...kama mbunge wao hataeleweka mbele ya Makinda!!
 
MS acha hizo, toa taarifa inayojitosheleza! Lema hakuambiwa apeleke taarifa offcn au vipi? Sasa inakuwaje anaipeleka huko?

Speaker alisema wazi kuwa ushahidi wake awasilishe kwake sio bungeni

Kwahiyo lema atapeleka ofsin kwake
 
Zitto anawarekebisha manaibu mawaziri wanapojibu maswali wasiwaite wabunge dadazao, kakazao, rafiki yangu wa karibu,.....Suala la Lema kwa sasa halipo. Labda jioni au limepotezewa?
 
Cdm walishasema wanauthibitisho hawakuhudhuria kikao cha kwanza cha baraza la madiwani ambacho hufanyika mara baada ya kula kiapo ambapo waliambatanidha orodha ya mahudhuri ya tarehe 17 na 18 ambapo waliosaini ni madiwani wa ccm 16 siku inayofuata ndio aliongezeka 1 wa tlp kivuyo , ambapo jumla ya wajumbe wa baraza hilo ni 31 hivyo akidi ni 21 ambayo haikutimia .
 
Currently:
Zitto asema kuitana dadangu, ndugu yangi, mdogo wangu, n.k ni uvunjaji wa kanuni za bunge. wabunge na mawaziri waitane kwa vyeo vyao au majina yao halisi.
Spika -amuunga mkono.
 

Hata Egypt kulikuwa na watu kama wewe ambao hawakuamini kuwa utawala wa kidikteta wa Mobarak utaangushwa. Walioandamana hawakujali nani atachukua nchi baada ya Hosni, walitaka aondoka. Nadhani mimi na wengine tunataka ccm iondoke, who will take over, that is a question we can discuss later. CDM inawezekana sio chama makini unavyotaka wewe, but kimeleta tumaini jipya, na kama sio cdm, ccm ingeshakufanya wewe bibi yake. cdm imepunguza kasi mpya na ari mpya ya ccm, and we have to applaude them for doing that to all tanzanias

There is no doubt in my mind kuwa Pinda alilitumia bunge vibaya kuleta propaganda, he is too tired kufanya independent review na kujiridhisha kuwa hakuna uongo. unatarajia IGP mwema ampe PM ripoti ya kumgandamiza yeye IGP na je upande wa pili wa shilingi uliangaliwa? Katika maelezo yake hakusema kuwa alikutana na chadema kujua upande wao, so it is possible kuwa maelezo aliyotoa bungeni ni ya upande mmoja, na hakubother kuangalia upande wa pili. Kiongozi wa jinsi hiyo ni hatari na hafai!
 
Inafuata kauli ya Waziri wa Maji. Programu ya maji vijijini. Siasa tu. Miradi mingi ya maji vijijini imekufa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…