Ubunifu wa hali ya juu! Hongera kwake. Vyovyote watu watakavyosema ila yeye ndiye wa kwanza kufanya entry ya stunt hatari, historia itamkumbuka! Lazima ameamsha wengine pia sasa waumize vichwa sio unaingia tu uwanja kama unaenda bafuni! Kuwa wa kipekee ndio alichofanya harmonize...