Nimetoka kuangalia performance za wasanii wa Africa kwenye hii kampeni ya MTV base ya kuchangia waathirika wa Corona aisee Diamond Ni best performer aisee idea aliyokuja nayo nimependa kafanya tofauti na wasanii wengine very unique idea.
Hivyo ndio msanii unatakiwa uwe nimeona page ya Instagram ya MTV base Hadi sasa yeye ndio ana kura nyingi ya watu waliomkubali ukija Twitter jamaa ndio anaongelewa hapo ndio tayari kashajiweka sokoni.
Ukiachana na Diamond aliyenivutia Ni AKA naye kafanya poa ila niseme ukweli Burna Boy kwenye suala nzima la performance yupo hovyo sio tu kwenye hii show kafanya kawaida Sana hata alivyokuja hapa bongo alipuyanga