Show ya diamond akichambua na kulinganisha viuno vya akina dada- uk

Show ya diamond akichambua na kulinganisha viuno vya akina dada- uk

Teh teh teh!Mkuu labda wewe ngozi yako inauwezo mkubwa wa kukabiliana na hizo sumu!

Ni uzembe tu wa hao wanaokuwa na makwapa kama kigaga.

Maana kuna njia tele za kuepukana na hali hiyo kama wangetaka

Hajasikia wazee wa zamani waliosema uwe unajisugia ndimu kwapani mara moja moja kuondoa harufu na rangi?

Na wale waliosema upake liwa jee kwapani nao hakuwahi kukumbana nao?

Na wanaopendekeza halawa jee hajawahi kuwasikia?

Na faida ya kupaka unga wa bizari nzima pia hajaisikia?

Kama hao ndio anaona Waswahili sana na yeye "Mzungu" shurti perfume, basi hao hao Wazungu wanapendekeza upake mtindi ulochanganyiwa na limau

Perfume si kisingizio, aseme tu kama ni mvivu na mzembe

Ahsante
 
Nasibu kazi anayo yaani hiyo mizigo
mingine ni minene mpaka haataaree.
 
Mazoezi kidogo ya kupunguza tumbo kama hayo yanayowatoa jasho hapo kwa Diamond yangesaidia sana....

Naona sukari ya wadada bado anatesa UK
 
Namuonea huruma demu wake..maana kuna link ishatoa issue kwamba lamba lamba ya bakheresa ishaliwa huko...mumshauri jua likitoka itamyeyukiaaaaaaaaaaaaa
 
ingia ndani ujue uhondo wa ngoma!

GLOBALPICS2.jpg

Vitu kama hivi magume magume ya U.K hayawezi angalia ushirikiano wa viuno.
 
Hiyo kwapa! Eeeeewwwww

Hehee..heeehee
Huyo anajichubua sasa hilo kwapa limego..limegomaaa! Cheki magoti hayo..mpk katikati ya paja lzm pawe finyuuu!! Na hapo yuko UK je angekua Bongo na hili jua..
 
Hehee..heeehee
Huyo anajichubua sasa hilo kwapa limego..limegomaaa! Cheki magoti hayo..mpk katikati ya paja lzm pawe finyuuu!! Na hapo yuko UK je angekua Bongo na hili jua..

Duh!

Urembo kazi sana hasa wa kununua dukani
 
kuna mtu mmoja anasema dogo ali-bore sana, kachelewa kufika ukumbini, anaimba kwa Redio sio kavu etc
 
Kuna kitu nataka kusema lakini acha tu nsiseme:frown:

Bubu hutaka kusemaeee....Mambo..mambo yanapomzidia
Bubu hutaka kusemaeeeee.....mambo, mambo yanapomzidia .....

Yamenizidi mwenzenu, leo nasimama mbele yenu...Kauli yangu kwenu kuitoa x2

 
Mh!mniwie radhi lakini kwa kweli mabalozi wetu wa huko uk kwa upande wa akina dada ni vimeo mbayaaaa,wabayaaaaaaaa. Duh kuna mmoja ana tumbo la balaa halafu kapiga kimini aiseeeeeeee!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom