Shoutout zangu kwa mideko,mkwepu jr na raraa reree

Weeeee kuna siku anakomentigi sasa Kuna komenti yake moja ya kuambiwa aache ushamba wa kula jicho watu tulishangaaaa kweli!!
Hao wapole waonege hivohivo tu wanakuaga Nyokko sana kwenye kusimamia ukucha
wee mbna sijawahi ona? Hiyo mada ilimgusa sanaaa,. Ko aliambiwa mshamba kisa haendi Buza kwa Rulengee
 
Back
Top Bottom