Shoutout zangu kwa mideko,mkwepu jr na raraa reree

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,573
44,803
Wako wengi sana ikiwemo kina holy holm , Santos06 extrovent, mshana jr, Half american n.k ila hao watatu niliowataja juu mmetisha sana mnenifanyia maajabu sana mideko asante umeniongezea likes nyingi kwenye profile langu hasa kwenye uzi wa vyakula nilifanya kazi kubwa sana kwenye uzi ule na sikuwahi kupewa tuzo atleast umeonyesha mwanzo mzuri bro mkwepu jr natambua juhudi zako robot langu wewe njoo PM nitumie namba yako Nikutumie 5000 ya vocha (serious) pamoja na wote wale ambao huwa wanalike contents zangu nyote mnanifanya nizidi kufanya maamuzi ya kuzidi kuipenda jamiiforums lazima nitoe acknowledgment zangu unajua likes zinanipa nguvu sana kuendelea kubaki kwenye hii familia.

Kwa wale wote ambao wananipenda tuombeane uzima tutazidi kupeana mastory ya town na wanangu chama la wana JF nawaheshimu wengi sana nahisi ambao siwapendi humu JF hawafiki watatu yaani natamani kuwataja wote hapa ila ni kazi kubwa inahitaji nikae nitulie na mimi niko vibe mbaya now mezani tumechafua Serengeti lite, Kilimanjaro, Castle lite, Windhock na shampeni yetu inaitwa HANSON CHOICE tuna kaparty fulani cha birthday cha mchumba wa kuitwa raty hapa.

Kuhusu yanga inaeleweka tuko vizuri sana hakuna wa kuipinga we are next level yaani fire kabisa ila DJ ni mandazi kabisa ametuzingua leo hapigi ngoma vizuri. Wakuu nimelewa sana ila ninejitahidi kuzingaria spelling. Mwisho kabisa tuungane na nabii tito kupinga machoko kwa mguvu zetu zote nitajie wakali wako watatu wanao like sana nyuzi na comments zako humu ndani...

Oyaaa mada hio hapo ishaenda viral japo nina ka dalili cha gonorrhea naumwa hela za kunywa zikiisha nitameza azuma ila mada naituma kama ifuatavyo sasa snitch jilete uanze kunipinga au kunikataa kumbuka niko na malomoni yangu sitaki disses, awoteee wewe.
 
Wako wengi sana ikiwemo kina holy holm,santos06,extrovent,mshana jr,Half american n.k ila hao watatu niliowataja juu mmetisha sana mnenifanyia maajabu sana mideko asante umeniongezea likes nyingi kwenye profile langu hasa kwenye uzi wa vyakula nilifanya kazi kubwa sana kwenye uzi ule na sikuwahi kupewa tuzo atleast umeonyesha mwanzo mzuri bro mkwepu jr natambua juhudi zako robot langu wewe njoo PM nitumie namba yako Nikutumie 5000 ya vocha (serious) pamoja na wote wale ambao huwa wanalike contents zangu nyote mnanifanya nizidi kufanya maamuzi ya kuzidi kuipenda jamiiforum lazima nitoe acknowledgment zangu unajua likes zinanipa nguvu sana kuendelea kubaki kwenye hii familia...kwa wale wote ambao wananipenda tuombeane uzima tutazidi kupeana mastory ya town na wanangu chama la wana jf nawaheshimu wengi sana nahisi ambao siwapendi humu jf hawafiki watatu yaani natamani kuwataja wote hapa ila ni kazi kubwa inahitaji nikae nitulie na mimi niko vibe mbaya now mezani tumechafua seremgeti lite,kilimanjaro, castle lite ,windhock na shampeni yetu inaitwa HANSON CHOICE tuna kaparty fulani cha birthday cha mchumba wa kuitwa raty hapa.kuhusu yanga inaeleweka tuko vizuri sana hakuna wa kuipnga we are next live yaani fire kabisa ila dj ni mandazi kabisa ametuzingua leo hapigi ngoma vizuri.wakuu nimelewa sana ila ninejitahidi kuzingaria spelling.mwisho kabisa tuungane na nabii tito kupinga machoko kwa mguvu zetu zote nitajie wakali wako watatu wanao like sana nyuzi na comments zako humu ndani..oyaaa mada hio hapo ishaenda viral naituma kama ifuatavyo sasa snitch jilete nikupe madole ya kati kama yote kumbuka niko na malomoni yangu sitaki disses.awoteee wewe
Umetisha sana hao wana wana molove kama yote likes kama zote 🙏🙏🙏
 
Wako wengi sana ikiwemo kina holy holm, santos06, extrovent, mshana jr, Half american n.k ila hao watatu niliowataja juu mmetisha sana mnenifanyia maajabu sana mideko asante umeniongezea likes nyingi kwenye profile langu hasa kwenye uzi wa vyakula nilifanya kazi kubwa sana kwenye uzi ule na sikuwahi kupewa tuzo atleast umeonyesha mwanzo mzuri bro mkwepu jr natambua juhudi zako robot langu wewe njoo PM nitumie namba yako Nikutumie 5000 ya vocha (serious) pamoja na wote wale ambao huwa wanalike contents zangu nyote mnanifanya nizidi kufanya maamuzi ya kuzidi kuipenda jamiiforums lazima nitoe acknowledgment zangu unajua likes zinanipa nguvu sana kuendelea kubaki kwenye hii familia.

Kwa wale wote ambao wananipenda tuombeane uzima tutazidi kupeana mastory ya town na wanangu chama la wana JF nawaheshimu wengi sana nahisi ambao siwapendi humu JF hawafiki watatu yaani natamani kuwataja wote hapa ila ni kazi kubwa inahitaji nikae nitulie na mimi niko vibe mbaya now mezani tumechafua Serengeti lite, Kilimanjaro, Castle lite, Windhock na shampeni yetu inaitwa HANSON CHOICE tuna kaparty fulani cha birthday cha mchumba wa kuitwa raty hapa.

Kuhusu yanga inaeleweka tuko vizuri sana hakuna wa kuipinga we are next live yaani fire kabisa ila DJ ni mandazi kabisa ametuzingua leo hapigi ngoma vizuri. Wakuu nimelewa sana ila ninejitahidi kuzingaria spelling. Mwisho kabisa tuungane na nabii tito kupinga machoko kwa mguvu zetu zote nitajie wakali wako watatu wanao like sana nyuzi na comments zako humu ndani...

Oyaaa mada hio hapo ishaenda viral japo nina ka dalili cha gonorrhea ila mada naituma kama ifuatavyo sasa snitch jilete nikupe madole ya kati kama yote kumbuka niko na malomoni yangu sitaki disses, awoteee wewe
11a25e38fe53ad8921017c41df33baa8.jpg
 
Back
Top Bottom