Mbongo Asili, frequency za makutano zikizidi ndiyo husababisha matukio mengine ambayo unaweza kujikuta ukishiriki bila full conscious yako. Nadhani kuijua dhana ya ex wako at the earliest stage ni muhimu ili kuepusha yoyote usiyokidhia na majuto mbeleni.Hapo itategemea ni jinsi gani mulivyoachana na Ex wako. if felt i was betrayed or used by my Ex i would still communicate with her,even assist her on her problem that i can, but believe me no strings attached. and avoid any dating or face to face meetings at any cost.
Mzee nachoweza kusema ni kuwa wapenzi hamwezi kuwa marafiki unajua ni kwanini? Mkipata mzingira yanayoruhusu ni rahisi sana kusaliti penzi lako la sasa kwani wewe na mpenzi wako wa zamani mnajuana sana na ni swala la kukumbushana tuu.Waswahili husema "Nyumba ya makumbusho haibomolewi" Mzee hata kama ukikutana na demu wako wa zamani ni rahisi sana kukuvulia chupi hata kama kaolewa, vilevile ni rahisi sana hata kwa demu wako kumvulia ex wake chupi mzee wakakumbushana ukizingatia yeye ndie alimvunja bikra na kumleta kwenye huu ulimwengu wa mapenzi uliomwengu unaowatesa wengi, ulimwengu uliowafanya wengi wawe watumwa na kuangamia ulimwengu ulio na raha isiyoelezeka hata Majambazi na magaidi huwa wapole kwenye anga hizo. Ningumu sana kuzuia hisia hizo kwa GF wako wa zamani.
Kwa mimi mwenyewe naona ni bora uepuke kabisa, Agree that the past is behind you and don't make each other remember it. Otherwise ni hatari mkuu. Kama hujagundua hakuna kitu mademu wanachukia kama kuwapigia story zako na wapenzi wako wa zamani vile vile sisi wanaume huwa hatupendi sijui wewe mwenzangu demu wako anakuambia oooh nilishawahi kuwa na huyu na huyu na huyu si utamuona community woman?
Siku zote ukimuuliza demu mimi ni BF wangapi atakuambia ni wa 2 na wanaume hivyo hivyo umelala na wanawake kibao hata wengine huwakumbuki ila demu akikuuliza kuwa ooh mimi ni demu wako wa ngapi unamdanganya wa 2 na wakwanza niliachana naye kwasababu alinicheate.
Mkuu epuka kuongea na demu wako kuhusu past reletion, epuka kukeep close contact na Ex wako (sisemi awe adui wako) ila distance iwepo.
🙂 .... Kweli kabisa Icadon, ila tahadhari ni muhimu. Huchelewi kujikuta unaotesha magugu maana lawezakuwa limeshaingiwa najisi na mmiliki wa mpito!!
Mama si lazima uwe unampenda, ila naamini saa nyingine inabidi tu uongee naye... hasa kwa wale ambao watoto wanakuwa involved, kana vile kwenye mambo ya shule, maradhi n.k. Kwa wale wa ughaibuni mambo ya child benefit huwasukuma kuongea na ma-ex wao bila kupenda...kwi kwi kwi, ukijikuta unajisikia kuchat na ex-wako mara kwa mara, jua unampenda na mchukue jumla.
Mama si lazima uwe unampenda, ila naamini saa nyingine inabidi tu uongee naye... hasa kwa wale ambao watoto wanakuwa involved, kana vile kwenye mambo ya shule, maradhi n.k. Kwa wale wa ughaibuni mambo ya child benefit huwasukuma kuongea na ma-ex wao bila kupenda...
SteveD.
Kama imefikia hatua ya kupata mtoto, na bado mkaweza kuongea, inashindikana kweli kuishi pamoja maishani? labda yeye awe hataki tu kwa vile ana mwingine. Kwa mimi ex- means ex-, labda tukutane kwa bahati mbaya ndio atapata hata salamu yangu. Kwa niliyeweza kuongea nae kwa dakika tano niko naye hadi sasa na nitakuwa nae milele.
BTW haya mambo hayana formula, huwa yanakuja tu from nowhere.
...hayo mawili; kwa hiyo mama hilo neno milele is just a wishful talk, innit?!
Dear JF Reader,
WanaJF naomba nasaha zenu kwenye maswala hapo juu. Ahsante.
SteveD.
...~' Scarry shadow looming in the dark!'~, achana kabisa na kuendekeza mahusiano ya ex-wako, unless una matarajio ya Baby-come back! iwapo tu nyote bado mpo single,
kinyume na hapo unakaribisha matatizo tu kwenye uhusiano wako mpya, unadhani ni fair kweli kwa mpenzi/mume/mke wako mpya kujua una mahusiano bado na ex-wako? ingelikuwa wee ungejisikiaje iwapo yeye ndiyo ana hiyo friendship?
No way bana, si entartain hilo. Where the kids are concerned, uhusiano utakuwepo ule wa kutimiza majukumu kama mzazi mwenzangu tu, sio urafiki wala zaidi ya hapo!
Surprisingly, kuna wengine wanatake advantage 'to check what they have been missing!", ...nasema shame on you guys and dolls, hilo ni sawa na kurudia matapishi, don't hook yourselves!
I've tried and failed badly in this!
🙂 .... Kweli kabisa Icadon, ila tahadhari ni muhimu. Huchelewi kujikuta unaotesha magugu maana yawezakuwa limeshaingiwa najisi na mmiliki wa mpito!!
na je wat if ulibreak up na huyo kimwana kwa matatizo yake mwenyewe alafu later on anakuja na kuanza kusema anaregret makosa yake aliyofanya na kulead kwa nyie kuachana?!!!!!???
...ujue anataka kukufanya wewe 'kabusati' ka kupangusia uchafu wake!
forgive and forget him/her!!!
kabusati ni lugha ya kwetu ya taifa ama?!
labda sikuelezea vyema, wakuta it was due to her accusations,which alidanganywa then akaziamini ikalead to kugombana na kuachana but later on anakuja na kusema she was wrong alikuja gundua alikosea kusikiza watu and dat she still loves u na blah blah kibaaooo wakati nawe ulisha move on na mwingine though somehow u feel like u have got some feelings for wa zamani
its a complicated matter lakini ndo hivyo sio mbaya kuizungumzia!