Should there be communication? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Should there be communication?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pearl, May 13, 2011.

 1. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Jamani wana jamvi naomba kuuliza umekuwa kwenye mahusiano maybe kwa mwezi-1-5-2yrs-3,4,5...........,ulikuwa na mtu mliependana sana na kuamini mno,mlikuwa na ndoto nyingi(maybe kuna mlizozitimiza,au nyengine hazikutimizwa)ikafika kipindi mahusiano/mapenzi yenu yakashindwa kuendelea(mmeshindwana kitabia,mlifumaniana,mwingine alikuwa si mwaminifu etc)uhusiano wenu kwa njia moja au nyengine ukafa/ukavunjika,swali ni je?
  1. Kuna haja ya kuwa na mawasiliano like kupigiana cm,kutoka outings,kushare misiba /harusi?
  Mimi sioni sababu ya kuendeleza mawasiliano yyte kati yangu na my Ex naamini kama it didint work out while we were friends/lovers will it work out now?
  -Pia nadhani kwa kuwa na mawasiliano nae itaharibu/itavunja uaminifu wangu na mpenzi wangu wa sasa.
  -Lakini pia kwa kuwa na mawasiliano na my Ex itani remind mambo mazuri,vitu tulivyofanya,sehem tulizoenda wakati wa penzi letu na hivyo kunifanya niwe kwenye Dilemma hasa kama uhusiano huu nilionao sasa hauendi vizuri.

  My pipo wat do u do?do u keep the communication alive with ur Ex/should we?mawazo yenu yanahitajika sana.:A S 103::A S 103::A S 103:
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  To me the answer to that is empathetic NO. You need to make yourself scarce and find other thing to occupy your time. Accept the fact that at least for now is no longer your boyfriend, he has the right to privacy and you have a right to yours. What did you do before you met you ex-boyfriend and made him the center of you life???.

  There are other people that love you and have your interest at heart. Your family and friends will welcome you and show you the support you need, you are just going to get a better perspective
   
 3. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mmmmh ok nimekusoma maana inaonekana na msisitizo umewekewa wekundu kabisaaaaaaa!
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  May 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kama tulibahatika kuwa namtoto/watoto
  Then definitely ...otherwise sioni umuhimu...

  We hujambo lakini dear???
   
 5. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #5
  May 13, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  sijambo swty hut,uko pouwa?so watoto ndo watafanya mawasiliano yawepo eeeh?wat iof huyu uliyenae anawatake care watoto vizuri mnoooo?
   
 6. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yani haina haja kabisa kabisa kwanini muendelee na mawasilianao ili iweje????
  yani sipendi kabisa kuwa na mawasiliano na ex
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  May 13, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hamna uhusiano wa kawaida kati ya mwanaume na mwanamke

  there must be a bussness inco.
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  May 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Narudia tena, To me the answer to that is empathetic NO.
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  May 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Asante, I wanted to say the same thing
   
 10. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #10
  May 13, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mpwa naona unagongea misumari kwa msisitizo,unataka kuniambia haiwezi kutokea hata siku moja ukampigia simu ya salamu?
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  May 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mnaweza mkawa marafiki na usikumbuke chochote....mnaweza msiwe marafiki na ukakumbuka kila kitu!!!Yote inategemea mahusiano yako mapya...ukiridhika nayo sawa sawa hata ukikutana na huyo ex wako akiwa mtupu utamuona mizinguo tu.
   
 12. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #12
  May 13, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mmmmh mbn kama sikuelewi?yani mahusiano btw mwanamke na mwanamme ni biashara tu?u mean huna ma boyfrinds?
   
 13. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #13
  May 13, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  si kwamba sikuelewi lkn tatizo ni kidhungu baba alafu mm ni msondo na ww FM si unaona tofauti hapo?
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  May 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu hapo it will depend on how our relationship ended.
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  May 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nilikupa hela ukasome British Council ukala ada
   
 16. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #16
  May 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  yeah,mawasiliano sidhani kama ni mabaya,...
  it's easy uki control mind yako na kumuona kama kaka/dada,...
  inakua rahisi sana,kuachana sio mwanzo wa uadui
   
 17. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #17
  May 13, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hukunipa hela ulinipa ma shilling nikanunulia embe na bungo
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  May 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  You are summoned for the hearing
   
 19. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #19
  May 13, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  kufanya mawasiliano na x wako yaweza kusababisha huyo uliye naye kwa sasa akahisi kwamba una mahusino mapya na mtalaka wako. Kwa hiyo communication anapaswa kuwa stopped.
   
 20. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #20
  May 13, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  duh mamy utupu wa mtu uliewahi kuwa na mahusiano nae zen uuone mizinguo?lkn mpaka unafikia kuuona utupu wake mko wapi hapo and mmeenda kufanya nn?
   
Loading...