The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
:a s 39::a s 39:yeah,mawasiliano sidhani kama ni mabaya,...
it's easy uki control mind yako na kumuona kama kaka/dada,...
inakua rahisi sana,kuachana sio mwanzo wa uadui
:a s 39::a s 39:yeah,mawasiliano sidhani kama ni mabaya,...
it's easy uki control mind yako na kumuona kama kaka/dada,...
inakua rahisi sana,kuachana sio mwanzo wa uadui
Vizuri kusikia uko poa kabisasijambo swty hut,uko pouwa?so watoto ndo watafanya mawasiliano yawepo eeeh?wat iof huyu uliyenae anawatake care watoto vizuri mnoooo?
You are summoned for the hearing
Hhahha....mkikutana popote yani unakua huna hisia nae tena.Ukimwona mawazo yako hayaendi mbali...si ajabu hata ukafunga macho!!Ni kiasi tu cha kutokua unamtaka/mhitaji tena tu!duh mamy utupu wa mtu uliewahi kuwa na mahusiano nae zen uuone mizinguo?lkn mpaka unafikia kuuona utupu wake mko wapi hapo and mmeenda kufanya nn?
Mkuu hapo it will depend on how our relationship ended.
hapa assumption ni kwamba ukizaa na mtu kisha msioane basi mtoto unakuwa naye wewe,what if mwanaume ana uwezo na nia ya kulea mwanae kwa nini usimpe haki hiyo wewe ukaangalia mbele na huyo mpenzi wako mpya?Vizuri kusikia uko poa kabisa
Mimi bado nipo nipo na ninahema hahahah lol
Nway
My kama nilimzaa mwanangu wakati babayake yuko hapo na rukaishi mimi baba na mtoto pamoja..mpaka hapo mwisho ukafika tukaachana.. ni jukumu langu mimi kuhakikisha mwanangu anakuwa kumjua babayake mzazi .. na hiyo ni kama baba bado anamtaka mwana.. na partner wangu wa sasa anatakiwa alijue hili na nitaliweka wazi kwake..usema ukweli unaweza mpata baba wa kambo anakupenda anakutunza anakuheshimu.. lakini aliyekuzaa bado ni baba pia.. naogopa mwanangu kuwa mtu mzima aniachie mimi lawama hakumuona baba yake ajili mimi sikuwasiliana naye..
Ndo hayo tu asante mpenzi..
Pearl,binafsi naomba nitofautiane na majority hapo juu.Uzoefu unaonyesha kwamba kamwe ushemeji haufi.Bishanga nikipendana na Pearl maana yake ni kwamba kwa namna moja au nyingine nitafahamiana na ndugu zake , marafiki zake na hata na jirani zake,naye pia hali kadhalika. Kwa hiyo hata kama tumeachana likitokea la kutokea tuseme ex wangu afiwe na mtu wake wa karibu ,say mzazi,kwa vyovyote vile nitakwenda kuhani msiba,it is natural na nitampa mkono wa pole. Ni kwa msingi huo huo inawezekana wakati niko katika malavidavi na ex wangu labda kuna tu biashara nilianza kufanya na ndugu yake au rafiki yake,hata tukiachana sisi tutaendelea tu na ma bizness na si ajabu tukawa tunakutana na ex tunasilimiana. Jamani mapenzi yakiisha haina maana tuwe maadui hata tusizikane au kupeana laini za biashara!
Mkuu unasubiri nini sasa??? Au unasubiri kupewa go ahead lol!!!!Pearl kama tukiwa wapenzi leo ks terms na condition zikatufanya tushindwe kendelea kuwa wapenzi haina maana kuwa tuna kuwa maadui! Tunaweza bado kuwa marafiki tunaoheshimiana sana na wala tusikumbushane mambo ya nyuma.
Yani utoe nafasi ya mwanamke mwingine kukulelea mwanao wakati ungali hai?hapa assumption ni kwamba ukizaa na mtu kisha msioane basi mtoto unakuwa naye wewe,what if mwanaume ana uwezo na nia ya kulea mwanae kwa nini usimpe haki hiyo wewe ukaangalia mbele na huyo mpenzi wako mpya?
Pearl hakuna sababu i see ..kwani amesahau kitu mpaka aendelee kupata mawasiliano
Mama NitakuPM ndo ujue kwa nn hakuna haja ,Ni kufunga kurasa na kuanza kurasa mpya kabisa ya maisha :smow:
Pearl kama tukiwa wapenzi leo ks terms na condition zikatufanya tushindwe kendelea kuwa wapenzi haina maana kuwa tuna kuwa maadui! Tunaweza bado kuwa marafiki tunaoheshimiana sana na wala tusikumbushane mambo ya nyuma.
Mkuu unasubiri nini sasa??? Au unasubiri kupewa go ahead lol!!!!
duh yani wapenzi leo tu jamani(kidding) fine najua heshima lazima tuiweke mbele,sikatai kuna sehem tukikutana tutasalimiana tena salamu ya heshima sio makiss na ma huggs,lkn sio ndo tufanye ka bby cme bak.
Pearl hakuna sababu i see ..kwani amesahau kitu mpaka aendelee kupata mawasiliano
Mama NitakuPM ndo ujue kwa nn hakuna haja ,Ni kufunga kurasa na kuanza kurasa mpya kabisa ya maisha :smow:
wivu sina ila roho inauma eeeeeeeh?
mkuu si inabidi uanzie mbaliiiii?ndo najisogeza hivyo mpaka anisome teh teh teh
YouTube - Mr. Chocolate aka Sharobaro - Oyoyokabby kam bak haikubaliki kama malaria,BTW mi siko saaaana kisred hii ni njia tu ya kujiexpress kuwa nakupenda leo,kesho na siku zote.Potezea yeye finest