Should African Countries Recognize The Libyan Rebels?

nchi za kiafrica zinabanwa ziunge mkono USA na NATO kwa kutumia mgongo wa misaada na ndio maana wanazunguka duniani pamoja na kutumia western media,kueneza propaganda zao.Umoja wa africa AU UNAPASWA KUAMKA NA KUFANYA DECISION ktk migogoro ya africa,vyombo vya maamuzi africa tunavyo na havifanyi kazi.

Marekani ndo walioivuruga Somalia ndo wawasaidie kwa nini tuwe sisi ? na baada ya miaka kadhaa mtakuja tena sema kwanini AU haiwasaidi Libya maana wana matatizo.

AU kwa upande mwingine wanatakiwa waji examine kabisa ktk mashirika haya yakimataifa, maana jana nilivyokuwa naangalia kule paris jamaa wanasema libya hata SA waki boycourt hawa watu wa chini la sahara hawana lolote na libya haiwahusu.

Hata hivyo mkutano wa jana umenikumbusha historia ya darasa la tano ya chancellor bismark Berlin ujerumeni, kwa kweli kulikuwa na common nyingi za mikutano hiyo.

Nenda karevise vizuri historia ya somalia hasa kuanzia utawala wa Siad Barre utajua kilichoivuruga Somalia, utakapokuwa unaperuzi jaribu kuzingatia role ya Saudi Arabia, Yemen, Egypt na Ethiopia kama major players halafu tafuta role ya Kenya, Djibout na sasa Eritrea. Kisha uangalie political structure ya somalia tangu uhuru (zingatia ukabila). Historia ikae sawa maana kutokana na inferiority yetu; ikitokea Tanzania imesambaratishwa na udini tutasema ni marekani, tutasahau kuwa CCM ndio inayopandikiza udini ikidhani kubrand vyama vya upinzani kuwa vina udini kutaihakikishia utawala wa milele. Lkn kumbe the vice versa is true.

Dah! Mku mbona hivyo tena hii post ya jamaa imegusa nin? teh teh teh.

Nakubaliana na wewe kuwa walibya watamkumbuka Gadafi lakini usiseme kama Iraq maana mpaka sasa hakuna mshia yeyote wa Iraq anayetaka kusikia habari ya Sadam, hakuna mkurd anayehitaji Sadam arudi, wanaommiss sadam ni wasuni tu na ambao ni 20% na hao ndio walikuwa wanampigania hata alipokuwa anatolewa. kwahiyo washia na wakurd waliokuwa wanamtoa mpaka sasa hawajutii maamuzi yao. Na Gaddafi watamkumbuka kiuchumi lakini mataendelea kumchukia kwa ukandamizaji

Haina umahiri wowote ni woga, kutojiamini na kutokuwa na msimamo uliojitegemea wanasubiri mabosi wao SA, Zimbabwe waseme ndipo utawasikia kina Membe. Elewa Tanzania ilikuwa kwenye payroll ya Gaddafi sasa imechanganyikiwa wala hutasikia wanakohoa.
another trash

Sasa hapa ndio hoja yangu kuwa ktk AU kuna categories mbili ya nchi za kiafrika; zile zinazoongozwa na serious leaders zikiongozwa na Botswana, Rwanda, Nigeria na Ethiopia. Hizi ziliona ukweli na zikafanya walichoona practical kwa kuwatambua NTC. Lkn kuna zile ambazo viongozi wake wanaishi kimajungu majungu tu zikiongozwa na South Africa na Tanzania hawa wanaishi kwa kuangalia upepo mkutanoni hawa ndio viongozi waliosema ukimwi kwa kunawa baada ya kujamiiana, ndio wanasema hawajui kwanini nchi zao ni maskini lkn bado wanahitaji madaraka na ndio hawa hawa ambao walipoona tu mkutanoni wengi wanasema NATO na NTC wamedhalilisha AU wakaamua kutotambua NTC huku wakishindwa kusema kama bado wanamtambua Gadafi. Halafu baada ya siku chache tunasikia balozi za libya ktk nchi hizo zinapeperusha bendera za NTC kisha anaibuka Membe anasema hawana shida na bendera wanachojua ni kuwa ili waonekane wamebadili msimamo lazima barua kutoka Tripoli itumwe na NTC kuwa huyo ni balozi wao ndo wanaamua kuchukua hatua. Blaa kama hizi ndio zinazo tudhalilisha. Huko nyuma Tanzania tulikuwa na msimamo na tulikuwa tunafanya maamuzi na kuyatekeleza lkn siku hizi hata Rwanda inatushinda.

AU ni kama EWURA tu ...yaanini joka la kibisa

Dah! Mku mbona hivyo tena hii post ya jamaa imegusa nin? teh teh teh.

Hapana mkuu mie sio mjaluo wala siishi kanda ya ziwa! nilikuwa namshambulia huyu jamaa kwasababu katumia kigezo cha kabila kuaccuse. Maana nimesoma boarding na baadhi ya wajaluo lkn sijamuona mwenye mkono wa sweta. Na vile vile Ex girlfriend wangu ni mixture ya mwarabu na mjaluo lkn kwasababu baba ndo mjaluo hivyo ni wajaluo. kaka zake my ex nimeishi nao enzi za foolish age na hawakuwa na sweta. Ndo maana niliboreka nilipoona jamaa anachangia kwa kugeneralize ukizingatia Tanzania ya siku hizi kuna mwingiliano mkubwa.

Nimekuelewa mkuu! Kaka post yako nimejifunza kitu [ b]mkono wa sweta[/b]

The Libyan crisis has exposed how weak the continent's leaders have become!

Gaddafi refuge would cost Libyan neighbours dear

By Bate Felix Tabi Tabe and Mark John

NIAMEY/DAKAR | Thu Sep 8, 2011 11:42pm IST

(Reuters) - Playing host to an exiled Muammar Gaddafi would entail huge costs for any of the African countries on Libya's southern borders, who would likely face a diplomatic and economic backlash from the West and Libya's new rulers.

That risk is seen outweighing residual admiration in the region for a leader who, while irking many states with his frequent meddling in their affairs, also lavished gifts on his neighbours and was a major voice of the anti-colonial movement.

"There is no upside for anyone to take in Gaddafi. I don't buy the idea that popular support for Gaddafi would compel any of these governments to do that," said Tom Cargill at London-based think-tank Chatham House.

The arrival this week of Gaddafi's security chief Mansour Dhao in Niger and reports of a convoy of vehicles carrying pro-Gaddafi forces in the north of the country sparked speculation of a possible exile deal for the former Libyan ruler.

Niger on Wednesday denied Gaddafi himself was in the country and said initial reports that the convoy in its desert north amounted to over 200 vehicles were vastly inflated. Mansour had been allowed entry on "humanitarian grounds", it said.

As Britain and France weighed in with demands that Gaddafi face justice either at home or in the International Criminal Court, Burkina Faso quickly played down an earlier exile offer, saying it had received no such request from Gaddafi.

Gaddafi has repeatedly vowed to stay in Libya and African Union commission chairman Jean Ping told French radio on Thursday that while the continental body had identified several exile options, "he (Gaddafi) does not want to leave".

That, ultimately, could be the best outcome for countries such as Niger, Burkina Faso, Mali and Chad which all could have much to lose if Gaddafi showed up at their doorstep.

"These countries are under enormous international pressure, with European cooperation agreements or defence accords at stake,"
said Alain Antil of Paris-based think IFRI.

"Despite the sympathy that still to an extent exists locally, there is a very keen appreciation in the Sahel region as elsewhere of the balance of power," he added.

While Gaddafi has exasperated many Africans over the years with efforts to wield influence from neighbouring Chad down to further afield Liberia and Sierra Leone, some Africans seem disappointed that an exile offer has failed to materialise.

"African leaders should be ashamed of themselves," said Edouard Zida, a student in the Burkina capital Ouagadougou.

"The West has it in for Gaddafi because he stood up to them. They should all be ready to welcome him in but they are afraid."

Full article

Reuters

Mkuu
Nani anaifanya Afrika kuwa dhaifu?
Kwa nini Afrika ni dhaifu?

Sisi waafrika , vongozi na wananchi wa kawaida tunachangia vipi kuifanya Afrika kuwa dhaifu? Na vipi tunaweza kuifanya iwe imara?

Mkuu
Nani anaifanya Afrika kuwa dhaifu?
Kwa nini Afrika ni dhaifu?

Sisi waafrika , vongozi na wananchi wa kawaida tunachangia vipi kuifanya Afrika kuwa dhaifu? Na vipi tunaweza kuifanya iwe imara?
Jibu sina. Nimeileta hii mada ili ichangiwe, kama inawezekana!

Aaauch! Mathaba tena. Awa jamaa bado hawajakuchosha!
Mkuu,
Mathaba wameitoa hapa MGE19-Muhammad's Global Enterprises, LLC kama wewe mathaba imekuchosha...

Kuna sehemu premium analytical report katika hiyo site.

Mkuu CNN, BBC, Al jazeera, Reuters, AP, ABC news, CBS, huffington post,wikileaks, JF, Asia news, TBC, RFI, Press tv, RT, mathaba, CCTV, KBC halafu changanya na zako....the truth is sqeezed somewhere in between.

Africa is weak bcoz haitaki kumpa Gadafi hifadhi? give me a break.

Africa is weak bcoz haitaki kumpa Gadafi hifadhi? give me a break.

Mkuu

Hapa humaanishi pia kuwa Africa is strong, tough...au nimekusoma kimakosa?

Utegemezi wa Nchi za Afrika kwa US-West ni udhaifu mkuu wa Afrika.

Bila shaka zipo nchi za kiafrika zingependa kumpa hifadhi Gaddafi lakini zinaogopa kuanzishiwa /kupandikiziwa "peaceful protesters" aka "civilians", "rebels".

Lakini Gaddafi alishajisemea kuwa haondoki Libya....ashinde vita au "martyr". US-NAto ndio wanataka aondoke Libya wakombe shamba la bibi.

Kaka,
Africa is weak and has been weak long before, lakini, kukataa au kuogopa kumpa hifadhi Gadafi it is more of effect than causal.
Ukisema ni weak kwa sababu hiyo itabidi useme kwa UK na Nato nao ni weak kwa ku-join bandwagon ya kampeni za kijeshi za USA, which is ridiculous. Dunia ya sasa inahitaji ujue kuchagua marafiki kwa faida yako mwenyewe na nchi za Africa, nyingi kama sio zote, zitapata manufaa kidogo sana kuliko faida kwa kusaidia kumhifadhi powerless outcast dictator kwanza he is about to become powerless and stripped naked of all his wealth..I think African countries are playing their cards really well. Enzi za kuwa loyal bila manufaa zimeshapita. Inabidi kuwa opportunist, hamna kingine.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…