Kibona
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 1,023
- 652
true story.au wamefanya nini libya mpaka nchi za kiafrika zigipendekeze kufanya kazi na waasi waliopindua serikali halali ya col ghadafi?
Tangu lini serikali ya Gaddafi ikawa halali halafu ya NTC iwe haramu? Kama kupindua kunaifanya serikali ya NTC kuwa haramu basi hata ya Gaddafi ni haramu maana nae alimpindua mfalme Idris.