Should African Countries Recognize The Libyan Rebels?

Tafadhali soma hii habari....

Kenya on Tuesday expressed willingness to work with Libya’s interim authorities in restoring the country.
Acting Foreign Affairs minister George Saitoti said Kenya would cooperate in restoring order, forging reconciliation and national cohesion, restoring infrastructure and reviving the economy.

“Kenya stands ready to work with the people of Libya, the African Union and the international community to help build a new Libya,” Prof Saitoti said in a statement on Tuesday evening.

“With the impending collapse of the regime of Colonel Muammar Gaddafi, Kenya urges that all efforts be exerted for the early restoration of peace and stability in Libya,” he added.

“Consistent with the AU road map for Libya, Kenya has always believed that only a political solution will make it possible to fulfil the mutually reinforcing objectives of peace and democracy.”

“Our foreign policy priorities seek to promote economic development and prosperity by increasing market access, capital inflow and advanced technological advancement,” he said.

Source: Daily Nation 24/08/2011

My take:
Tanzania hata statement bado hakuna. Tulichelewa kuchangamkis fursa Sudan ya Kusini na sasa Libya! tumezeoa kuomba tu lakini kujituma zero. Membe anafanya nini hasa?

Acha ulimbukeni na unafiki kama hujui kitu sio kukurupuka tu,
kabla ya yote tambua kwamba anguko la libya ni msiba kwa Afrika, hivyo huwezi kukurupka tu kuangalia maslah wakat kuna msiba,
hata hivyo hiyo nchi inaangaliwa kwa macho yote kuanzia mataifa makubwa mpak zeny unafuu afrika zikiitaji kunufaika na huo mzozo kwa kila hali ikiwamo kuijenga upya
sasa angalia huyo membe wako ana nini cha kupeleka kule

true story.au wamefanya nini libya mpaka nchi za kiafrika zigipendekeze kufanya kazi na waasi waliopindua serikali halali ya col ghadafi?

Yaani kwasababu Kenya wametoa tamko na sisi tukurukupuke tu. Serikali ya JK ni mahiri, tulivu na inaona mbali. Hatuishi kwa kuigaiga.
Haina umahiri wowote ni woga, kutojiamini na kutokuwa na msimamo uliojitegemea wanasubiri mabosi wao SA, Zimbabwe waseme ndipo utawasikia kina Membe. Elewa Tanzania ilikuwa kwenye payroll ya Gaddafi sasa imechanganyikiwa wala hutasikia wanakohoa.

Hatuwezi kutoa taarifa yoyote; Huu sio wakati wa Utawala wa JK Nyerere always support the oppressed; this leadership hawaoni ubaya wa Gadaffi

Wanampenda wametupa pesa, we embrace now Dictators and wananchi wetu wengi wanampenda Gadaffi sasa wamesahaud Damu ya wananchi

Wetu waliouwaka Kagera... Money is EVIL.

Yaani kwasababu Kenya wametoa tamko na sisi tukurukupuke tu. Serikali ya JK ni mahiri, tulivu na inaona mbali. Hatuishi kwa kuigaiga.

Kwa nini usubiri kuiga? kwa nini Tanzania isiwe ya kwanza kusema chochote? Historia ya nchi ilikuwa ya kuigwa wakati wa harakati za ukombozi wa Africa. Na ndio tukawa na maneno kama 'binadamu wote ni sawa' hii kwa sababu ya msimamo dhidi ya ubaguzi wa rangi South Africa. Sasa hivi tumukuwa watu wa kujificha. Gadaffi huyu huyu alitutwanga risasi wakati wa Idd Amin. kakaa kwenye kiti cha urais miaka 40, almost aifanye nchi nzima ya Libya kama 'kioski' chake binafsi.

Hata hivyo soma kwa makini (kama wewe ni mtu makini ni mkweli) hiyo habari ya Kenya, utaona ni jinsi gani wanaongea "directly' na watu wa Libya then ndio uje kwenye kitu wanachosema 'to rubuild'. Sisi kazi kuomba omba tu.

true story.au wamefanya nini libya mpaka nchi za kiafrika zigipendekeze kufanya kazi na waasi waliopindua serikali halali ya col ghadafi?[/QUOTE]

Ghadafi alichaguliwa lini? Uchaguzi wa urais Libya ulifanyika lini?

Tafadhali soma hii habari....

Kenya on Tuesday expressed willingness to work with Libya's interim authorities in restoring the country.
Acting Foreign Affairs minister George Saitoti said Kenya would cooperate in restoring order, forging reconciliation and national cohesion, restoring infrastructure and reviving the economy.

"Kenya stands ready to work with the people of Libya, the African Union and the international community to help build a new Libya," Prof Saitoti said in a statement on Tuesday evening.

"With the impending collapse of the regime of Colonel Muammar Gaddafi, Kenya urges that all efforts be exerted for the early restoration of peace and stability in Libya," he added.

"Consistent with the AU road map for Libya, Kenya has always believed that only a political solution will make it possible to fulfil the mutually reinforcing objectives of peace and democracy."

"Our foreign policy priorities seek to promote economic development and prosperity by increasing market access, capital inflow and advanced technological advancement," he said.

Source: Daily Nation 24/08/2011

My take:
Tanzania hata statement bado hakuna. Tulichelewa kuchangamkis fursa Sudan ya Kusini na sasa Libya! tumezeoa kuomba tu lakini kujituma zero. Membe anafanya nini hasa?
Wewe acha, tanzania ipo na Regime ya Gadafi, hao kenya siku zote walikuwa wapi ka si wanafiki wakubwa kama waasi wa libya. Angeshinda Gadafi wangesema hivyo hivyo na kumpongeza juu. Shame to them

Kwa nini usubiri kuiga? kwa nini Tanzania isiwe ya kwanza kusema chochote? Historia ya nchi ilikuwa ya kuigwa wakati wa harakati za ukombozi wa Africa. Na ndio tukawa na maneno kama 'binadamu wote ni sawa' hii kwa sababu ya msimamo dhidi ya ubaguzi wa rangi South Africa. Sasa hivi tumukuwa watu wa kujificha. Gadaffi huyu huyu alitutwanga risasi wakati wa Idd Amin. kakaa kwenye kiti cha urais miaka 40, almost aifanye nchi nzima ya Libya kama 'kioski' chake binafsi.

Hata hivyo soma kwa makini (kama wewe ni mtu makini ni mkweli) hiyo habari ya Kenya, utaona ni jinsi gani wanaongea "directly' na watu wa Libya then ndio uje kwenye kitu wanachosema 'to rubuild'. Sisi kazi kuomba omba tu.
Mimi nimesema wanaomsifia Gaddafi hawamjui nachelea kusema ni vijana wa Dot.com labda walikuwa wadogo miaka ya 80s au wamezaliwa miaka hiyo na 90s wanamsoma kwenye vitabu vya historia.

Wakati wa Nyerere tulikuwa pro active nchi zilikuwa zinaiga toka kwetu, Nyerere alivunja uhusiano na Israel kuwatetea Wapalestina hakuangalia nani atamfurahisha, nchi nyingi ziliogopa kuanzisha kambi za wapigania uhuru kwa kuogopa kuvunja uhusiano na Makaburu sisi tukaanzisha Mazimbu na zingine. Enzi hizo tulikuwa masikini jeuri siku hizi mikia kifuani hatujiamini kwa vile tumejenga serikali ombaomba, tutaendelea kuwa matonya milele mwisho tutasikia rais kanyimwa viza kwa usumbufu.

Yaani kwasababu Kenya wametoa tamko na sisi tukurukupuke tu. Serikali ya JK ni mahiri, tulivu na inaona mbali. Hatuishi kwa kuigaiga.

Serikali ya JK ni legelege na haina umahili. Hila kwa hili la Libya wako sawa kwa kutofanya maamuzi kwa kuiga serikali nyingine--kwa hili nakubaliana nawe Mwita25. Pia ile serikali ya Rebel iko kinyume na katiba ya African Union (check Article 4(p) ya Consitituve Act of AU). So Tanzania pia haiwezi kuitambua kama ni serikali halali. Kenya ni wazee wa kutafuta sifa za kijinga kutoka mataifa ya magharibi.

Kwenye red: napata kichefuchefu. Hii African Union imekuwa kama a Union of Matonyas and dictactors! Na huyu Dictactor Ghadafi alijua ugonjwa unaowasumbua - omba omba. Kawalisha pipi vilivyo na ndio maana wengi wameshindwa kusema chochote. Kama ambavyo serikali ya Rebel haiko kinyume na katiba ndivyo hivyo serikali ya Ghadafi ilikuwepo kinyume cha katiba, tena kwa miaka 40 na ushee!. Ghadafi aliingia madarakani kwa kufanya mapinduzi na amekuwa rais wa hiyo nchi akiwa na umri wa miaka 27 tu! Ni lini uchaguzi umefanyika Libya? lini?

mkuu ishu ya gaddafih sio uongozi hapa jamaaa wamagharibi wamegundua kila kitu ni mafuta na gaddafi ndio alikuwa anabana na mwenzie iran ndio bado na hapa libya lazima wamkumbuke huyu jamaa amini nakuambia.

baada ya miezi mi3 watakumbuka zile ndoa za serikali na huduma za kijamii za bure. rip libya

Yaani kwasababu Kenya wametoa tamko na sisi tukurukupuke tu. Serikali ya JK ni mahiri, tulivu na inaona mbali. Hatuishi kwa kuigaiga.

Inaona mbali wapi wakati nchi yoote ina giza?

Ushuzi mwingine uwe unafikiria kabla ya kuuweka, usiwe kama mjaluo bana.

nakuheshimu mkuu

Serikali ya JK ni legelege na haina umahili. Hila kwa hili la Libya wako sawa kwa kutofanya maamuzi kwa kuiga serikali nyingine--kwa hili nakubaliana nawe Mwita25. Pia ile serikali ya Rebel iko kinyume na katiba ya African Union (check Article 4(p) ya Consitituve Act of AU). So Tanzania pia haiwezi kuitambua kama ni serikali halali. Kenya ni wazee wa kutafuta sifa za kijinga kutoka mataifa ya magharibi.

Na kwa kupenda sifa wajaluo hawa wasiomjuwa Ngaliba wala kwenda suna waliamua kuweka mapumziko eti kisa mkono wa sweta mwenzao kaingia white house...

Sasa kama si usakala ni nini?

kuna propaganda zimepangwa ulimwengu
uaminishwe kuwa Kamanda katutoka.
Hivyo yeye Gadaffi binafsi katuambia wanawe
kuwa wakitangaza tu habari hiyo basi tuwajibu
''We know he will not die.'' We know he will not die.
We know he will not die.
We know he will not die.
We know he will not die.
Allah akbar

Sio jambo zuri kufurahia maafa kwa watu wengine (Libyans), lakini at the same time ni lazima JK aonyeshe msimamo amesimamia wapi kama ni kuwasupport rebels au kuendelea kumsupport Ghadafi. Moreover, we should also know that tukisusa wengine wanakula. Kenya, China, Turkey, Russia, Italy etc. tayari wameshatuma delegations kule Bengazi kulobby for lucrative trade deals.

true story.au wamefanya nini libya mpaka nchi za kiafrika zigipendekeze kufanya kazi na waasi waliopindua serikali halali ya col ghadafi?[/QUOTE]

Ghadafi alichaguliwa lini? Uchaguzi wa urais Libya ulifanyika lini?

mbona hujauliza uchaguzi wa malkia elizabeth ulifanyika lini?acha kuropoka

Yaani kwasababu Kenya wametoa tamko na sisi tukurukupuke tu. Serikali ya JK ni mahiri, tulivu na inaona mbali. Hatuishi kwa kuigaiga.

<sema kweli Mwita" toka siku nyingi nakuona kama unaharakisha sana kabla hujafikiri na kufanya utafiti.
Nina wasiwasi na uMwita wako kuwa siyo ule original.

kuna propaganda zimepangwa ulimwengu
uaminishwe kuwa Kamanda katutoka.
Hivyo yeye Gadaffi binafsi katuambia wanawe
kuwa wakitangaza tu habari hiyo basi tuwajibu
''We know he will not die.'' We know he will not die.
We know he will not die.
We know he will not die.
We know he will not die.
Allah akbar
Wa_--shnzy Yaani huyu gaidi bado kuna watu wanamkubali?

Similar Discussions

Back
Top Bottom