Shosti mwanaume kaniharibu 'maumbile' yangu yule!

hahahaaaa!!naniliu kubwa sio sababu
sababu ni yeye kubadili wanaume na kila
mmoja ana size yake,k lazima iwe mdebwedo
mwanamke kujitunza bana!!
 
Hata 'Joshua' juzi aliniambia kuwa mbona nimebadilika sana, nimeongezeka ukubwa lakini pia ule ukavu ukavu haupo na makelele yamekuwa mengi tofauti na zamani! Na hili hata (akataja majina ya waaume wengine watatu) waliniambia pia tatizo hili.
Mwenzangu kama vp tafuta dawa, wanaume wenyewe wa siku hizi, nenda hata kwa wachina wana dawa (huu ulikuwa ushauri wa rafiki yake wa kike).
Hayo maneno sio yangu, ni ya mashostito, mmoja alikuwa akimsimulia mwenzake mabadiliko anayoambiwa kuwa nayo. Hii ilitokea baada ya kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine anbaye kadiri ya simulizi yake inaonekana jamaa alikuwa ana kitendea kazi kikubwa hali iliyopelekea kumletea mabadiliko katika quality ya maumbile yake.

Wapi upo mkuu?
 
Aaahh acha zako we..kama kabadrika ni yeye na mambo yake mengine
 
Sio dude imekuwa kubwa la hasha. Ni yeye amezeeka tu
 
Hata 'Joshua' juzi aliniambia kuwa mbona nimebadilika sana, nimeongezeka ukubwa lakini pia ule ukavu ukavu haupo na makelele yamekuwa mengi tofauti na zamani! Na hili hata (akataja majina ya waaume wengine watatu) waliniambia pia tatizo hili.
Mwenzangu kama vp tafuta dawa, wanaume wenyewe wa siku hizi, nenda hata kwa wachina wana dawa (huu ulikuwa ushauri wa rafiki yake wa kike).
Hayo maneno sio yangu, ni ya mashostito, mmoja alikuwa akimsimulia mwenzake mabadiliko anayoambiwa kuwa nayo. Hii ilitokea baada ya kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine anbaye kadiri ya simulizi yake inaonekana jamaa alikuwa ana kitendea kazi kikubwa hali iliyopelekea kumletea mabadiliko katika quality ya maumbile yake.
Hahahahaha Hili Ni Fumbo La Imani
 
Kuna haja ya kuanzisha kozi fupi za uandishi wa taarifa fupi!
 
Mtoto kupita hii ni system iliyopo katika makuzi ya mimba. Uke nao ukua kadili mimba inavyokuwa.
Sasa mshedede na mtoto kupita ni vitu viwili tofauti
mtoto anakatiza mara moja tu na tena baada ya muda mrefu.pipe inaingia na kutoka mara kadhaa
 
Back
Top Bottom