chief_mtemi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 529
- 121
Mmh,ngoja evelyn salt na madame B waje.hii imekaa kinoko zaid
Angalia aliposti saa ngapi utapata jibundyoko hivi huwa unazisikilizia wapi hizi story za Mashostito?? maana mkuu..mh, nakumbuka ile ya mwanaume gani akifika anajambaaa nk nk..
ndyoko hivi una vinasa sauti kama vile alivyowekewa Dr. Slaa kitandani?Hata 'Joshua' juzi aliniambia kuwa mbona nimebadilika sana, nimeongezeka ukubwa lakini pia ule ukavu ukavu haupo na makelele yamekuwa mengi tofauti na zamani! Na hili hata (akataja majina ya waaume wengine watatu) waliniambia pia tatizo hili.
Mwenzangu kama vp tafuta dawa, wanaume wenyewe wa siku hizi, nenda hata kwa wachina wana dawa (huu ulikuwa ushauri wa rafiki yake wa kike).
Hayo maneno sio yangu, ni ya mashostito, mmoja alikuwa akimsimulia mwenzake mabadiliko anayoambiwa kuwa nayo. Hii ilitokea baada ya kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine anbaye kadiri ya simulizi yake inaonekana jamaa alikuwa ana kitendea kazi kikubwa hali iliyopelekea kumletea mabadiliko katika quality ya maumbile yake.
bora kubadili ya wanawakekubadili majasho ya wanaume ni noma.
Angalia aliposti saa ngapi utapata jibu
Hata 'Joshua' juzi aliniambia kuwa mbona nimebadilika sana, nimeongezeka ukubwa lakini pia ule ukavu ukavu haupo na makelele yamekuwa mengi tofauti na zamani! Na hili hata (akataja majina ya waaume wengine watatu) waliniambia pia tatizo hili.
Mwenzangu kama vp tafuta dawa, wanaume wenyewe wa siku hizi, nenda hata kwa wachina wana dawa (huu ulikuwa ushauri wa rafiki yake wa kike).
Hayo maneno sio yangu, ni ya mashostito, mmoja alikuwa akimsimulia mwenzake mabadiliko anayoambiwa kuwa nayo. Hii ilitokea baada ya kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine anbaye kadiri ya simulizi yake inaonekana jamaa alikuwa ana kitendea kazi kikubwa hali iliyopelekea kumletea mabadiliko katika quality ya maumbile yake.
Kwenye msafara wa kenge na mamba wamo, KalagabahoUmeniacha hoi mkuu!
utanukaji wa upitaji wa mtoto unatofauti kidogo na utanukaji wa maumbile sababu ya maswala ya ngono na ndio mana mtoto akisha pita na ukapona huna tena jeuri ya kustahimili kitu chenye ukubwa wa huyo mtoto aliye pita kuingia ukeni kirahis nafikiri ukubwa wa mtoto anapo zaliwa unaujua hivo ni vitu viwili tofauti dadaangu swala la kupita mtoto ukeni lina maelezo mengi kibiologia kulingana na matayarisho ya mwili kwa swala hilo.Maumbile makubwa sio tija, mbona mtoto anapita na kitu kinarudi kama new vile akifuata sheria za usafi na mazoezi
Btw, Mwambie ajitunze na aache tabia mbaya ya kutom**tom*wa ovyo, ili misuli ijirudi, na akitumia mchina ndio kabisaa anajiharibu