donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
-
- #41
Hahahahniliudhuriaga mara moja ila kwa burudani niliopata na kuona nilianzishaga mtindo wa kuruka ukuta na kwenda kwny vigoro na kurudi home saa 10 asuhuhi kabla watu hawajamka
Yes ni kama updated version ya mnandaUkiangalia hii Singeli waimbaji wake ni wale wote waliokuwa wanaimba Mchiriku a.k.a Chakacha. Sasa pata picha.
Haya ndio mambo ya uswahilini ya vigodoro, seems like chura is everywhere after all!
😀😀😀😀😀😀Aisee yaani huko Dar sijui watu wanaishije ngoja niuze nyumba ya urithi nije kujionea mwenyewe nimechoka kusimuliwa.
Majimama kali zake sana kwenye vigodoroHumohumo ndio akina Diamond wametokea. Hata Mimi nime-miss sana mambo hayo. Huku Kimara niliko sasa sio kama Mwananyamala. Disco vumbi taarabu majimama ya kumwaga full kubambia. Tena kuelekea Ramadhani sasa hivi harusi kibao na muziki kila kona.
Uswazi.com mkuuDuuuu!
kumbe chura kaonewa! Mambo zenyewe zipo hivi?
Ilikuaje mkuuNamshukuru Mungu nimeondoka dar la sivyo sasahivi ningesha potea maana ule mwendo nilokuwa nao kila nikikumbuka machozi yananitoka sitaki kabisa kuishi dar
Mjini msingi kiunoopChup la manfongo mnato Aiya iyaaa
Achana na sholo mwamba,sasa kuna muhuni mwingine huyo wa kuitwa Man Fongo!
Anakwambia,"poa we nukia pafyum,mi nanuka kwapa".
Pooole pole,hauna
Pole tena,hauna
Bruuukua,wahuni wanataka tena!
YNWA
Mama............k.0MAMA AMINAAAA......MALIZIEN BAS
Hakyanan mwamiss mengiuswazi raha bana,tusio kaa uswazi tunakosa mengi sana.
A new genre in the makingAhahahaaaaa classic.