Teh teh teh njoo uone maana ya singeli manyotaAisee yaani huko Dar sijui watu wanaishije ngoja niuze nyumba ya urithi nije kujionea mwenyewe nimechoka kusimuliwa.
Jipu kubwaHataree
Mchizi hajawahi kufundishwa ila anatafsiri fixtures aibu uuuuuMm napenda kusikiliza hule wa muda wa kubet.....muhind ndio boss wetu....muhind ndio baba yetu
hizi za kiswazi hata mamlaka ije na moto wa kuzimu hawawezi kuzizuia,ngoma zinapigwa kwenye vigodoro,bodaboda,vilabu vya gongo uswazi..life inasonga.achana na kitu kikiwa damuni mwa raia hata ufanyaje huwezi zuia...achia bodi mamaa mojamoja dondoshaaa achia bodi mama moja moja dondosha we zungusha zungusha zungusha....we cheza singeli..... masela cheza singeli.....Hizo ni zaidi ya Chura, mamlaka zipo wapi? Wanachelewa nini kukomesha hii kitu.
halafu hao watoto asilimia kubwa hawawajui baba zao kudadeki,hiyo ndo sifa kubwa ya uswazi watoto wengi hawana baba(wametelekezwa)...Hapo hao watt future yao ishaharibika" kuna dogo mmoja kampima oil mdada hapo daah watt wadogo uswaz wameharibikiwa sana
Sure mkuu unaanza Kua widely spread all over TZ. Mi nimeshangaa sana Pemba kuckia ngoma za Yuda msaliti zinapigwa clubila tuache masihara huu mziki wa genre ya singeli ndo bongo fleva ya kizazi kipya ni aina mpya ya muziki na itakuja kuwa popular sana nyakati zijazo.hawa kina man fongo dogo nigga sholo mwamba na wengineo watakuja kuwa ma legend baadae.ukiangalia historia ya huu mziki inakuja kufanana na jinsi reggeae na dancehall zilivyoanza.
Mtaa gan huoMi jana kumepita kigodoro hapa barabarani bwana watu wamepiga madera ya sare wanakata mauno pekupeku...Cjui nani alikua anaenda kuchambwa???
Ni mapunga ama? Mapunga wanazinguaKuna video nyingine imesambaa ya uswazi wanacheza wanaume kama wamevurugwa wimbo unaitwa Kambale...khaaaa
Inabamba sanaUmetisha huo ndio wimbo wa taifa kwenye vigodoro na bodaboda za wahuni
Msaga sumu - uswahilini rahaYauswazi tuwachie uswazi.