Shocking! Nusu ya vifo hutokana na maelezo ya daktari

Mkuu waache tu.. nikiona testimony za watu hapo sijaona sababu yoyote ya dr kukupa dawa ambazo hazikusaidii kwa maksudi...

Siku wakikaa hosiptali hata siku moja ndio watajua ni namna gani watu wanakesha usiku kucha kuokoa maisha...hakuna binadamu wa kawaida ambaye anaweza kufurahi anapoona binadamu mwenzake anakata roho..

Labda kama mshana jr anafanya tangazo la biashara kwa ajili ya kiringe chake..
Lkn hakuna doctor anayetoa dawa ili kumuua mgonjwa maksudi

Mkuu hujui tu kinachoendelea, angalia sana madaktari siku hizi kwenye magari yao wanatembea na dawa tofauti tofauti kama samples wanazopewa na watu wanaouza dawa, unajua wanachozifanyia? Mungu atunusuru tu
 
Mkuu waache tu.. nikiona testimony za watu hapo sijaona sababu yoyote ya dr kukupa dawa ambazo hazikusaidii kwa maksudi...

Siku wakikaa hosiptali hata siku moja ndio watajua ni namna gani watu wanakesha usiku kucha kuokoa maisha...hakuna binadamu wa kawaida ambaye anaweza kufurahi anapoona binadamu mwenzake anakata roho..

Labda kama mshana jr anafanya tangazo la biashara kwa ajili ya kiringe chake..
Lkn hakuna doctor anayetoa dawa ili kumuua mgonjwa maksudi
Reply yangu pale juu umeikwepa kwa utashi wako ili kujustify utetezi wako... Lakini maandishi hayafutiki.. Nakushauri kasome tena
 
Naona hujanisoma vema andiko langu na pengine kwa makusudi kabisa umeruka kipengele nilichoandika kuhusu
Madaktari halisi kwa maana ya fani na elimu
Madaktari wenye weledi na kazi
Madaktari wakweli
Madaktari ambao sio corrupted
Madaktari ambao sio wenye tamaa na mali na utajiri nknk
Mkuu waache tu.. nikiona testimony za watu hapo sijaona sababu yoyote ya dr kukupa dawa ambazo hazikusaidii kwa maksudi...

Siku wakikaa hosiptali hata siku moja ndio watajua ni namna gani watu wanakesha usiku kucha kuokoa maisha...hakuna binadamu wa kawaida ambaye anaweza kufurahi anapoona binadamu mwenzake anakata roho..

Labda kama mshana jr anafanya tangazo la biashara kwa ajili ya kiringe chake..
Lkn hakuna doctor anayetoa dawa ili kumuua mgonjwa maksudi
Nisome tena hapo
 
Shoking kubwa kuliko hiyo Mr. Mshana ni kuwa zaid ya 80% ya magonjwa yote husababishwa na maadui wawili (White poison) nao ni SUKARI NA CHUMVI na dada yao FAST FOOD hachezi mbali. Hospitali wakishaona ulichezea afya yako nao wanachezea mwili wako kwa kukujaza kila aina ya dawa possoble. Acha sukari, chumvi na nafaka zilizokobolewa hapo utaishi bila magonjwa makubwa yanayoua wengi.
 
Nimejifunza kitu hapa... Pamoja na nyama nyekundu pia
 
Nina kajihoma homa kanakosababishwa na mafua ngoja kesho niende hospitali ya wilaya nione wataniambia nini, kisha niende kwenye hospitali ya mtu binafsi nifanya mlinganisho
 
Ngoja nifanye betting... Utapata majibu mawili tofauti kwenye vipimo, utapata dawa tofauti hata kama tatizo ni lile lile
 
.
WIKIENDI%2BA.jpg
 
Lakini pia kuna hili la national policies... Hizi za kisiasa.... Tangu miaka ile ya 60 tukitumia quinine kama tiba komesha ya malaria mpaka leo hii tuko kwenye mseto je rate ya malaria imeshuka ama imepanda?
Kila wakati inaletwa dawa mpya na pengine kwa majaribio na kutangaziwa kuwa ndio tiba bora baada ya ile ya kwanza kuwa sugu
Ni wangapi wamesahau mseto za kwanza zilivyowaumiza watu tena wengine wakiachwa na vilema vya kudumu!? Achilia mbali vifo
Pamoja na majaribio yaliyopo, suala la utaalamu wa madaktari na wahusika wengine nalo ni tatizo sana.
Ni kweli wataalamu wachache sana ama hamna kabisa anaedhubutu kutoa maelezo ya kina kwa mgonjwa juu ta matumizi sahihi ya dawa na hasa side effects zake, hapo ni sifuri kabisa zaidi ya wimbo wa jinsi ya kumeza mara ngapi kwa siku.
 
Mshana najua wewe unajua mambo mengi na uko richabo daily tofauti na mastaa wengine wa jf

Nimeweka Uzi jukwaa LA intelligence sijapata majibu

Swali langu ni lile jengo LA eagle house pale oysterbay nyuma ya kituo cha mafuta cha puma limejengwa na nani je ni nyerere mwinyi mkapa au jk kifupi nataka kujua mwaka

Samahani nimeingilia thread yako ila naamini nyuzi zako zinasomwa sana

Asante
 
Usijali ngoja niende huko au ukiweza nitag
 
Dah mshana aisee sio kwa upafect huu I didn't expect this umenijibu haraka mnoooo I wish watanzania mahala pa kazi tungekuwa sharp hivi

Samahani kwa kuingilia Uzi huu ila imenisaidia
 
Back
Top Bottom