Kwa mwendo huu wa uchangiaji ndio maana tuna uthubutu wa kununua madege ya make tofauti tofauti kwa wakati mmoja
Hivi hua ni kwanini,kinachomuua ni mawazo au ugonjwa unashamiri baada ya kugundulika?Na huu ujumbe uwafikie wale wanaopenda kupimapima magonjwa yasioyokua na tiba kama ukimwi cancer etc. Wengi wakishapima hasa cancer huwa hawachukui round wanapotea.
Mawazo. Ukiwa na mawazo kinga ya mwili inashukaHivi hua ni kwanini,kinachomuua ni mawazo au ugonjwa unashamiri baada ya kugundulika?
Kinachoua watu wengi wenye cancer ni dawa ya kansa ya chemotherapy, ukipigwa ile survival rate yako ni miaka 3, alafu wengi hufa ndani ya siku 30 baada ya chemotherapy.Na huu ujumbe uwafikie wale wanaopenda kupimapima magonjwa yasioyokua na tiba kama ukimwi cancer etc. Wengi wakishapima hasa cancer huwa hawachukui round wanapotea.
Nilisikia pia hiyo chemotherapy ndo inamalizaga maisha.Kinachoua watu wengi wenye cancer ni dawa ya kansa ya chemotherapy, ukipigwa ile survival rate yako ni miaka 3, alafu wengi hufa ndani ya siku 30 baada ya chemotherapy.
Unakuta mtu ni mzima kabisa na anafanya shughuli zake, akipigwa chemo tu anadhoofu hata zile kazi alikua anafanya zinamshida, mwisho anakufa.
Chemo watu wengi huikataa, maana ni kansa ndani ya kansa, inapunguza uvimbe wa kansa huku inatengeneza kansa nyingine.
Pharmacistical companies za ulimwengu wa kwanza wao wako kwenye faida na sio kukutibu wewe upone, ukipona ni bahati yako, wao wanaangalia faida hata kama unalishwa sumu.
Pamoja na kwamba kupima afya ni muhimu na kupata tiba sahihi pia ni muhimu lakini kubwa kuliko yote ni kumpata tabibu mkweliMshana umeongea kabisaaaaaaa,nimepata Vidonda kimasihara masihara tu,nimerundikiwa madawa ya ajabu huku ugonjwa hauonekan kisa tu ni kujiskia maumivu.mpaka mwaka Jana mwishoni nikaanza kuambiwa na Vidonda vinavyonitesa sanaaa,yote hii nimekuja gundua ni madawa walokua wananipa.PIA KUNA HAWA WAKOREA WANAJIDAI KUTOA DAWA ZA MITI SHAMBA KUMBE WAONGO WANATOA DAWA ZA HOSPITAL PASIPO KUANDIKA JINA LA DAWA NA VIPIMO.NAO WANASABABISHA MADHARA MAKUBWA SANAAA,WENGI WANAPATA MAGONJWA MAKUBWA SANAAA.
KWELI MSHANA MIILI YETU INATUMIKA VIBAYA SANAAA.MARA MIA TIBA ZETU ZA ASILI ZINAMSAADA MKUBWA KULIKO HOSPITAL
nchi bado ina safari ndefukama ilivyo kwamba magonjwa si mpango wa MUNGU kwetu wanadamu ndivyo ivyoivyo madawa na mahospitali sio mpango wa MUNGU. aliyeleta magonjwa shetani na madawa na mahospitali huyohuyo shetani, unadhani kuna salama hapo? ukitaka kuamini nisemayo wewe jitahidi ufanikiwe kwa mambo ya rohoni uone jinsi utakavyo fanikiwa kwa mambo mengine yote na kuwa na afya.
Na wanafanya hivyo kwakuwa third world countries hatuna utaratibu wa kudai fidia kutokana na madhara yatokanayo na ushauri ama tiba ya daktari. ... Kwa wenzetu huko hilo ni jambo kubwa sananamkumbuka Dr Godman(marehem) aliwahi kuniambia dawa nyingi Africa ni mbovu na nyingi kwa ajili ya majaribio tuu! na nchi za ulaya wana dawa zao ambazo kuzipata kwa nchi za africa sio rahisi! hizo huuziwa wananchi wao tuu NOT FOR EXPORT