Shocking! Nusu ya vifo hutokana na maelezo ya daktari

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
5,472
2,000
Post yako imeniumiza sana imenikumbusha vivo vya wazazi wangu miaka tofauti na hospital tofauti nyuma kidogo kila ukiwaza unahisi palikua na uzembe ktk dawa/dose walizopewa....kama ulivyo post inafikia pahala mgonjwa kazidiwa wanashindwa apewe dawa IPI na kwa kiasi kipi.....hili swala lipo na linatutesa sana waafrika....na hii itakuja kuwa wazi baadae sana lkn kidogokidogo watu wanaanza kuamka kwa hili ndio maana Sikh hizi kwa Dar watu wanaiogopa hospt ya mlonganzila..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
170,195
2,000
Pole sana sana.. Nimesikiliza simulizi ya kifo cha Bruce Lee kilichomuua ni madhara ya muda mrefu (side effects) ya dawa za kupunguza maumivu
Post yako imeniumiza sana imenikumbusha vivo vya wazazi wangu miaka tofauti na hospital tofauti nyuma kidogo kila ukiwaza unahisi palikua na uzembe ktk dawa/dose walizopewa....kama ulivyo post inafikia pahala mgonjwa kazidiwa wanashindwa apewe dawa IPI na kwa kiasi kipi.....hili swala lipo na linatutesa sana waafrika....na hii itakuja kuwa wazi baadae sana lkn kidogokidogo watu wanaanza kuamka kwa hili ndio maana Sikh hizi kwa Dar watu wanaiogopa hospt ya mlonganzila..
Na hata MJ kilichomuua ni madhara ya muda mrefu side effects ya dawa za kutuliza maumivu na kutoa uchovu
Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Deva

JF-Expert Member
May 29, 2018
1,240
2,000
Uko sawa Mshana Jr

Mimi ni muuguzi, wakati naanza kabisa kazi mahali fulani hiki kitu nilikiona live, nilihoji kwanini inafanyika hivyo ila majibu hayakuwa straight.

Treatment dosage ya mgonjwa inayopaswa kwenda siku 3 inapelekwa siku 7.

Kuuliza nikaambiwa tulia wewe, this is business ndio jibu nililopewa, unaishia kufunga mdomo usiharibu biashara, nilikuwa nikishuhudia mal practise kubwa sana, huwezi ingia hapo ukatoka bila dawa.

Mal practise ipo sana, loyal medical profession ni wachache sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,596
2,000
Wewe ndio unajidanganya. Kifo nacho ni biashara. Sijui kama unalijua hilo.

Kwa akili yako ndogo unafikiri kifo hakiwezi kudhibitiwa?

Ndiyo kwa akili yangu ndogo hakuna anayeweza kuzuia kifo, bali unaweza kukisogeza mbele, kwani kifo ni jambo la asilia kwa viumbe vyote, isitoshe binadamu huanza kufa kidogo kidogo kuanzia siku anazaliwa, hivyo ukifikia utu uzima sehemu kubwa inakuwa imeshakufa na hiyo huwezi rudisha nyuma.
 
Baba Swalehe

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
17,522
2,000
Unaletewa mgonjwa hawezi kuongea yupo kimya hawezi kufanya chochote

Unaambiwa tu labda alkua anasikia maumivu ya kifua
Unaangalia creatine kinase ipo chini kumbe wamekudanganya

Kwa kweli tunaongozwa na Mungu

Na mungu aendelee kutubariki na kutusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
5,958
2,000
Ndiyo kwa akili yangu ndogo hakuna anayeweza kuzuia kifo, bali unaweza kukisogeza mbele, kwani kifo ni jambo la asilia kwa viumbe vyote, isitoshe binadamu huanza kufa kidogo kidogo kuanzia siku anazaliwa, hivyo ukifikia utu uzima sehemu kubwa inakuwa imeshakufa na hiyo huwezi rudisha nyuma.

Nakubaliana nawe kulingana na akili yako ndogo.

Lakini kwa akili kubwa nakupuuza na kukuona huna uwezo wa kuzungumzia mambo hayo.

Aliyekuambia kifo ni jambo asilia ndio huyo huyo anayeweza kuondoa hiko kifo
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
170,195
2,000
Nakubaliana nawe kulingana na akili yako ndogo.

Lakini kwa akili kubwa nakupuuza na kukuona huna uwezo wa kuzungumzia mambo hayo.

Aliyekuambia kifo ni jambo asilia ndio huyo huyo anayeweza kuondoa hiko kifo

Jr
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom