Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) lapiga marufuku Vijora Uwanjani

Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) lapiga marufuku Vijora Uwanjani

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
1747895949393.png

Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) limepiga marufuku kwa Klabu za mpira wa miguu kwenda Uwanjani na vikundi maalum vya kucheza vya Wanawake wanaocheza ngoma zisizo na maadili pamoja na kuvaa nguo (Vijora) na kuonekana maumbile ya miili yao.

ZFF inatoa angalizo la kuzichukulia hatua kali na stahiki kwa mujibu wa utaratibu uliowekwa kwa timu zote zitakazo kaidi na kupeleka vikundi hivyo Viwanjani.

1747896243298.png
 
dah mbona wanaharibia watu starehe zao? kuna watu kwenye hizo mechi huwa wanafuata hivyo vijora tu. CCM wana roho mbaya sana hawapendi kabisa watu wawe na furaha.
 
Back
Top Bottom